ideos android ziko sokoni

Muundo(model) gani wa hizo ideos,kuna aina mbalimbali za ideos,kama Huawei X5.hata unapouza mchele huwa tunasema nauza mchele wa kyela,Thailand,Japan au unaposema nauza nyama sema ya ng'ombe au ya mbuzi au ya nguruwe na kadhalika wa kadhalika haifai kusema unauza tu mchele au unauza tu nyama-fafanua zaidi
 
Back
Top Bottom