Identifying mchumba

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wanajamii,
Nafikiria kuwa na mwenza wa baadae kuitwa 'mamsap', lakini nashindwa kubaini ni namna gani ya kumtambua mjenzi wa kweli.
Maana dadaz yaani hata hujafikiria kwamba UNAMTAZAMIA...basi ameshaelekea kuolewa na wanapretend ile mbaaaaya.
NISAIDIENI ZILE AREAS to focus na ikiwezekana basi shortlisted ya maombi yatapokelewa.
 
kaka Mpevu, habari ya kazi,

kk unajua habari ya kutafuta mwenza si ya kuja kuuliza hapa jamvini, utafute uso wa Mungu naye atakusaidia. Mali na pesa mtu hupewa na baba yake bali Mke mwema mtu hupewa na Mungu (Mithali nimeusahau Mstari) pia Mithali 18:22 yasema Apataye Mke apata kitu chema, Naye atajipatia kibali kwa BWANA

Kitu chema hiki hakiwezi kuwa chema kama hakikutoka kwa Mungu, si baba yako wala mama yako, rafikiyo, mjomba atakaye kupa Mke bali ni Mungu. Ndugu yangu Utafute Uso wa Mungu kwa bidii nawe utauona na kupata faraja. Maana ukipata mwanamke mpumbabu Mithali 11:22 inasema Kama pete ye dhahabu katika pua ya Nguruwe; Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili

Kaka Jina La Bwana ni Ngome Imara Mwenye haki huikimbilia akawa salama (Mitha 18:10) Mungu ndio kimbilio lako, sasa hivi, na utakuwa salama kabisa kwani utapata mke Bora kwake

Soma hii kwa makini sana (Mithali 6:20-35, Mithali 7:1-27) Anza na hapa kupaweka sawa kwani ndo kuna mitego mikubwa sana hapa, wengi huingilia maisha ya Ndoa kwa Gia hii wakapata fadhaa maishani mwao! Mtego umemaliza wengi

Piga Goti, funga MUngu akusaidie, kwani Mungu aweza sema na wewe kupitia watu, Shetani pia asema nawe kupita watu so hutaweza kuju ni nani anayesema kama hauko vizuri rohoni.... Tengeneza mambo yako kwanza

Nakutakia maisha mema na mafanikio katika safari muhimu katika maisha yako

Thanks
 
Ahsante sana kwa mchango wako,
I truly value your constructive contribution and will HIGHLY consider, ahsante kwa angalizo lako jema.
 
Nikiweza kumu-identify wangu ntakushauri na wewe........ila kwa sasa tuendelee kuomba tu.
 
mmmmmhhhhhhhhh huo mtihani mguu.... ndo mahali F++ zinatokeaga
lakini ukisha vuka hilo araja hapo mmmhhhh A+++++++++
 
Nikiweza kumu-identify wangu ntakushauri na wewe........ila kwa sasa tuendelee kuomba tu.

wote nyie mtafaidika na ushauri unaotolewa, naona kama tatizo lenu linafanana vile!
hata hivyo hakuna kanunu mtambuka ktk hili na kwa kiasi kikubwa ni ww mwenyewe ndo unatakiwa kuzisoma alama za nyakati ili kutofautisha wa kuigiza na halisi, Mungu awasaidie kila mmoja kwa imani yake
 
Piga magoti omba kwa Mungu that's the only solution ya kupata mjenzi wa kweli
 
remain spirited,joyful and curious.
stay focused on your lifework and on giving selfless service to others
the universe will take care of everything else
this is one of natures truest laws
 
remain spirited,joyful and curious.
Stay focused on your lifework and on giving selfless service to others
the universe will take care of everything else
this is one of natures truest laws

happy new year banaaa umerudi jf kimya kimya
 
Wanajamii,
Nafikiria kuwa na mwenza wa baadae kuitwa 'mamsap', lakini nashindwa kubaini ni namna gani ya kumtambua mjenzi wa kweli.
Maana dadaz yaani hata hujafikiria kwamba UNAMTAZAMIA...basi ameshaelekea kuolewa na wanapretend ile mbaaaaya.
NISAIDIENI ZILE AREAS to focus na ikiwezekana basi shortlisted ya maombi yatapokelewa.

angalia sehemu nne:
Ukoo wake asili yake kuna tatizo gani hapa waweza kujua magonjwa ya urithi n.k.
Pili angalia msimamo wa tabia yake kwa kumfuatilia bila yeye kuto jua.
Tatu hali yake ya maisha na jinsi gani kutokana hali alonayo waweza kuishi naye.
Nne ni uzuri ambao unaweza kusababisha muishi naye muda mrefu kutokana na kuridhika. Bora ya yote ni tabia na mahusiano baina yake Mungu.
 
Piga magoti omba kwa Mungu that's the only solution ya kupata mjenzi wa kweli

Nimefurahishwa sana na hii post yako Finest.

Kwa sababu ni kweli hakuna njia ingine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom