Idd Simba atetea posho za Wabunge

Arudishe kwanza hela yetu ya UDA, kisha tumdai ya NASACO. Amesahau usemi unaosema "A silent fool is counted wise"
 
Iddi Simba z emotional retard ,there'z need for this forum to discuss him.He has a lot of unaswered aligation .
 
Hivi tunapaswa tuwafanye nini viongozi kama hawa??
Maana wanatia kichefuchefu kwa maneno yanayowatoka!
 
No no no!
I dont buy that!
Kwanini mbunge atoe fedha kama huruma yake na si kutumia mfuko wa Ofisi yake?

paka, suala si mbunge kuchukua fedha na kuwapa wapiga kura, kama kila mtu akizihitaji atazitoa wapi? wananchi wenye matatizo ni wengi sana, ni wazi iwapo ukihalalisha hoja eti tunawagawia wapiga kura wetu wanaotusubiri nje ya mjengo....PINDA, ni mawazo mfu.

kazi za wabunge ni hizi
(a) kuandaa mazingira mazuri ya kila mwenye uwezo wa kufanya kazi kufanya kazi ajipatie kipato chake cha halali.
(b) kusimamia miradi ya wananchi ili ifanikiwe kwa kiwango cha juu sana
(c) kuisimamia serikali kama taasisi ili iwajibike kwa wananchi.

wabunge wetu wamjichagulia kazi ya kutoa misaada midogomidogo hali inayopelekea kujenga utegemezi miongoni mwa wanajamii.

wameshindwa kujenga mazingira bora ya kumwezesha kila mwenye uwezo wa kufanya kazi kujitafutia kipato.
(a) wamegawa aridhi bure kwa wawekezaji na kumnyang'anya mwananchi sehemu ya kuzalishia.
(b) wametunga sheria kandamizi za kodi, ambapo mzawa analipa zaidi ya mgeni

na mengine kibao
 
yuko bize anauza nchi unadhani ana cha kuwapinga wabunge??? akipinga tu, wanaanza na yeye na biashara anayofanya na ardhi yetu anaijua mwenyewe
 
Wanataka hela zote ziende kwao, ili wananchi wabaki kuwa ombaomba. Hawa watu hawaelewi kazi ya mbunge ni nini.Kwa njia hiyo hawafai kuwa ndani ya bunge letu. Hao wanaoshabikia posho ndio waliingia bungeni kwa kuhonga bukubuku, na sasa wanataka buku zao zirudi. Hakuna cha maendeleo wala kuisimamia serikali katika kutekeleza sera za maendeleo na kulinda mali za watanzania. Wapo kwa ajili ya posho tu na si vinginevyo.
 
Walio pewa msaada wake wakarudishe si muda mrefu atawataja ili kuwa umbua

Hivi kusaidia mtu hadi uwe mbunge mbona wengi tunawasaidia hata kama si wabunge kama ni hivyo basi tuambiwe wazi katika hizo posho za kusaidia watu ni kiasi gani
 
inductive reasoning inasema hivi:
idd simba ni cccccmmmm
idd simba ni mpumbavu
kwa hivyo ccccmmm wote ni.........
 
Nategemea vitu kama hivi kutoka kwa ccm kwani huwa wanatumana kuja kulipuka uharo wao kama alivyofanya Bi kiroboto (Anna Makinda)
 
Wabunge wanadai maisha Dodoma ni ghali hivyo wanadai kuongezewa posho.
Sasa tunasikia tena kuwa wanataka kuongezewa posho ili wawape wapiga kura wao wapitapo majimboni.
Sijui kama hili ni kweli... mbunge kugawa feza zake kutoka mfukoni kumpa mwananchi? Rushwa sawa ikikaribia uchaguzi.
Nani ashawahi kugewa ela na mbunge isiyo na uhusiano na uchaguzi??
Yote hayakubaliki.
Wabunge si wazalendo.
Hawana tofauti na Jairo.
 
Shame on you Idd Simba. Nilikuwa nakuamini. Sasa nimekuona bure kabisa.

Acha unafiki.
Kwa yote aliyofanya Simba kwa mikono yake ukaendelea kumuamini. Hili la kusema tu tena ye si mbunge ndo umuone bure?
 
Back
Top Bottom