Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,475
- 6,428
Huyu mzee ni fisadi wa kukubuhu na ndio maana alifukuzwa uwaziri wa viwanda kwa sababu ya kula magendo ya vibari vya sukali. Ufisadi uko ndani ya damu yake na ndio maana akiwa Mwenyekiti wa UDA akishirikiana na meya wa jiji mwizi wakaihujumu kampuni ya uma na fedha zikawekwa kwenye account ya Simba kama vile ilikuwa mali yake!! Sio hivyo tu huyu mzee anahusika pia na kubaka ardhi ya watu huko Katavi [ akishirikiana na Pinda] na kuiuzia kampuni ya kutoka IOWA marekani maelfu ya ekari za ardhi. Sio muadilifu hata chembe na hafai kusikilizwa na wazalendo wa nchi hii.
kweli kabisa, alijiuzulu uwaziri kwa ile kashfa ya sukari.