Idd Azzan atishiwa kunyanganywa kadi;Ataka Sekretarieti ya CCM Mkoa na k/mati ya Siasa ijivue gamba

Kiu kweli naona ccm suala la kujivua magamba wanacheza nalo maana haimkiniki mafisadi hao hao wampe adhabu mtu amabet anawatuhumu wao kwa ufisadi then wao wamuadhibu'

idd azan ni fisadi ni hana sifa ya kuwa mbunge hasa jimbo la kinodnoni...ajivue yeye gamba then aanze kuwatuhumu wenzake...zogo hapa limeanza baada ya azan kukwepa kuwalipa hao viongozi pesa waliokubaliana ya kumfanya mshindi kura za maoni...alilipa nusu na balance hataki kulipa so ameona ngoja awachongee ili waondoke ...imekula kwake...
 
Sekretarieti ya mkoa wa Dar es salam imempa adhabu kali Mhe.Iddi Azzan, baada ya hivi karibuni kutolewa kwenye magazeti mbalimbali kuitaka sekretarieti ya mkoa huo kujivua magamba na kwa kilo kinachosemekana kuwa sekretarieti hiyo imejaa ufisadi.

Mbunge huyo amekaripiwa vikali na kuonywa kutotumia vyombo vya habari kukishutumu chama hicho, pia amfungiwa miezi 18 kuto gombea nafasi yoyote katika chama hicho.
Je wana JF ni kweli ufisadi utaondoka kwa namna hii ikiwa wale wanaotuhumiwa wanampa adhabu anewatuhumu? naomba mawazo yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom