Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

Hao wa magamba watajijua wenyewe sisi ni harakati tuu kuichukua nchi yetu 2015 hatuangalii Shykazi wala Idd chocolate hapa.... hapa kazi tuu CDM.
 
Duh mambo makubwa haya . Shy alifanya nini hasa . Alichangia ninij mbona hakuweza wazi. Aliisaidia Chadema mkoa gani au jimbo gani ?
 
ShyRose ni opportunistic mkubwa, na ndoto yake kubwa ni siku moja kuwa MHESHIMIWA MBUNGE.
Her insipiration is/was the late Amina Chifupa (RIP).

Amejisogeza kwa Mh. Sugu strategically, sitashangaa 2015 akagombea jimbo la Kinondoni kwa
tiketi ya CDM. Na kama hatabahatika akashindwa basi atakuwa ameukwaa ubunge wa viti maalumu
kupitia CDM kwani uthubutu wa kugombea kwenye jimbo na sifa mojawapo ya CDM kuchaguliwa
MB wa viti maalumu.

CCM walikuwa wako tayari kumpatia lakini kale ka-boyfriend kake kwa mwanzo Jaffari (sp?)
kalikuwa kanamuharibia PR.Anyway, wishing you the best ShyRose for your quest to become
honorauble member of parliament.
 
idd azam alikuwa wapi siku zote kutoa shutuma dhidi ya bhanji? inakuwaje mpaka apewe adhabu yeye ndipo amlalamikie shayros? yetu macho bwana kauli yake ya mwanzo imepelekea yeye kupata adhabu kwa vile alishindwa kuithibitisha ...sasa amedai shyrose aliisaidia chadema kwenye uchaguzi mkuu...athibitishe madai yake basi

Shyrose anatakiwa amshikie bango jamaa ili athibitishe kauli yake, kama alivyomshikia bango suala la mwanzo kwenye kikao cha Halmashauri lakini akikaa kimya bila kutoa kauli yeyote ya kukana au kukubali basi hizi tuhuma zina ukweli ndani yake.
 
Baada ya NAPE Vs Lowassa sasa ni Shyrose Vs Azzan. Safi sana Magamba yanavuana.

Mwenyekiti katulia tuliiiiii, kama haoni vile, Waacheni, tufaidi muvi. :frusty:Kudadeki
 
nadhani shy hana haja ya kujibu chochote ili kuachana na malumbano ila kwa ninavyomfahamu huyu dada huwa hafuati ushauri. kazi kwako dada bhanji wewe chapa kazi kwani kazi yako subiria 2015 kinondoni ni yako asikwambie mtu kitu
 
Mi natamani hii ngoma ingekuwa kati ya MARY CHATANDA na SHYROSE BHANJI.

AU

MARY CHATANDA na SOPHIA SIMBA.

Naisubiri kwa hamu sana siku hiyo, hizi muvi nyingine naona ni trela.
 
Back
Top Bottom