Idara ya Uhamiaji yawanyima Madaktari passport -BBC habari

mgogoro huu hautaisha bila mazungumzo ya dhati ambayo serikali yetu dhaifu haipendi kuyafanya.
 
Nashauri wasikimbilie ulaya wala nchi jirani wabanane hapa hapa ila akija mgonjwa hospital wamchunguze Kama ni gamba wam mwakyembe tuu au au wamu moi. Operation ya goti wamkate shingo wa kichwa akatwe mkono na wa tumbo akatwe sehemu nyeti tena waanze ma mabalozi, wenye viti, madiwani mpaka wabunge ili majimbo yabaki wazi tuongeze nguvu bungeni na kwenye serikali za mitaa hapo watakuwa wametusaidia kupunguza muda wa mateso au vipi wadau? Ila baba nanihii najua hawata mpata maana anaruka viunzi ulaya kwa treatment ndogondogo Kama mafua etc
 
Hakuna haja ya kuwanyima Pasi kama wamekwishafanya clearance na HESLB, TRA nk. Wao hawatakuwa wa kwanza kuihama nchi hii kwa muda au hadi wanaporudi wakiwa maiti.
 
walivyoruhusu watu wakatafute kazi popote walifikiria inashindikana?
"Bora uishi kama mbwa ughaibuni kuliko mtu tanzania'

Shika adabu yako wewe! Kama wewe unaishi kwa dhiki hapa Tz usifikiri ndo wote wako hivyo!
 
kwani ukishakuwa Dr unapewa paspoti? Umeuliza swali la kijinga sana!

wapi nilipouliza swali?nani amesema ukishakuwa mganga tanzania unapewa hati ya kusafiria?usikurupuke na kufanya kila mtu aujue upumbavu wako.
Hoja hapa ni daktari wa kibongo kutokujua umuhimu wa kuwa na hati ya kusafiria mpaka apate matatizo
 
Kwa kifupi mkulu nchi imemshinda,he has failed us miserably,yeye badala ya kutafuta suluhu anakurupuka
 
hata binti yangu walimsumbua ila mungu yu mwema amepata juzi na ataondoka j3 kwenda botswana, kuanza maisha mapya ya udaktari.
 
Madaktari wameamua kujiunga na wadandia meli kwenda kuwa wabeba mabox ughaibuni kulikomchosha Le Mutuz, jambo zuri watajifunza mengi maana wakiwa Tanzania tu wanakuwa na ndito za ajabu ajabu. Huko waendako kodi watakayokokotolewa watajua kuzaliwa. Wawaulize wabeba mabox yanayowakuta, lakini licha ya hayo kidogo kinaingia mfukoni kuliko bongoland.

Huwa naheshimu hoja zako,lakini hii ndugu umepotoka. Kuna watu wanabeba mabox Ulaya na America,lakini daktari aliyefuzu eti anabeba box huyo atakua na tatizo jingine! !! Usiongozwe na hisia wakati wa kuchangia sredi kama hii bali angalia mambo kwa mapana. Mwisho wa mgogoro huu sisi kama taifa/serikali yetu tutashindwa!
 
Wabeba box tunaozungumzia kila siku ni maprofesa, madaktari, manesi na wengine wengi tu katika fani mbalimbali, wabeba mabox ni msamiati ambao kwa sasa unamaanisha wafanya kazi ughaibuni. Wengi welioughaibuni wamepokea msamiati huu, wala hauwaumizi kwani waliouibua kuna yaliyowashinda huko na kuishia Fedex au UPS hivyo kujega hisia kwamba wote walioko majuu ni wa mtindo huo.

Tukubali tu kuupokea msamiati hii, na nimeingiza hii kwa makusudi kutifua wale wanaochukia msamiati wa wababa box.
 
Mkuu wangu sidhani kama ni msamiati uliotumika mahali sahihi. Madaktari hata ktk nchi zilizoendelea bado ni fani hadimu na ni fani inayoheshimika.
 
wapi nilipouliza swali?nani amesema ukishakuwa mganga tanzania unapewa hati ya kusafiria?usikurupuke na kufanya kila mtu aujue upumbavu wako.
Hoja hapa ni daktari wa kibongo kutokujua umuhimu wa kuwa na hati ya kusafiria mpaka apate matatizo
Mkuu tatizo ni hivyo vigezo walivyoweka ili mtu apate hiyo hati ya kusafiria. So, inakuwa ngumu kuwa na hati kabla hujapata uthibitisho wa safari. Wewe vipi, ya kwako ulipewa kimagumashi nini? [MENTION][/MENTION]
 
Kwani nani kawaambia wajitambulishe kama madaktari. Kaombe passport yako kimya kimya chukua flight. Attention seeking ndio inayowaponza wanaokosa passport.
 
Hao hawana vigezo tu. Mbona tuliandikiwa humuhumu kuwa wengine wamepokewa kwa shangwe Botswana? double talk?
 
Nashauri wasikimbilie ulaya wala nchi jirani wabanane hapa hapa ila akija mgonjwa hospital wamchunguze Kama ni gamba wam mwakyembe tuu au au wamu moi. Operation ya goti wamkate shingo wa kichwa akatwe mkono na wa tumbo akatwe sehemu nyeti tena waanze ma mabalozi, wenye viti, madiwani mpaka wabunge ili majimbo yabaki wazi tuongeze nguvu bungeni na kwenye serikali za mitaa hapo watakuwa wametusaidia kupunguza muda wa mateso au vipi wadau? Ila baba nanihii najua hawata mpata maana anaruka viunzi ulaya kwa treatment ndogondogo Kama mafua etc

Ndiyo kazi yenu Chadema ya kushawishi na kuchochea fujo hapa nchini ili muingie madarakani lakini kaeni mkijua hamtafanikiwa kirahisi mmekosa utu kwa uroho wa madaraka!
 
Back
Top Bottom