Idara ya Elimu Msingi wilaya ya Kwimba huu ni Uhuni na Udhalilishaji wa Walimu

Wewe ni Mwalimu usie na akili.
Sijui unafundisha nini watoto wetu huna uadilifu na uvumilivu.

Hivyo hata watoto wetu unawafundisha tabia za ukosefu wa uadilifu na uvumilivu
 
Wakuu shalom!!husikeni na mada tajwa hapo juu Swala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku mkidanganya kwamba pesa mtaweka kwa account matokeo yake mnaanza usanii kwamba watu wameleta taarifa zisizo sahihi na upuuzi mwingine ambao kimsingi Hamna hoja ya maana tafadhali sana msitake kumchonganisha mkurugenzi na watumishi wake kwa huo ujuaji wenu hasa wewe mama unaehusika na malipo bahati nzuri sikufahamu jina haiwezekani mtu afanye kazi ya kitaifa halafu malipo yake inakua ni kashfa huyo mama ana majibu ya hovyo mno tunaomba mlipe fedha za walimu waliosimamia mitihani mkiendelea na huu upuuzi wenu tutapaza sauti kwa waziri mwenye dhamana kwa kuwataja wahusika wote mnaotuzungusha tukifika hapo ofisini kwenu tafadhali lipeni pesa za walimu kuweni japo na hofu ya Mungu ndio nyie mnasababisha walimu tunaonekana masikini mitaani huku
Haya mambo yanahumiza sana ,halafu hawa wakubwa wanavyofatilia ufundishaji kwa vitisho bila kuangalia changamoto za walimu na mazingira husika, ukianza kufuatilia stahiki zako wanakupuuza shenzi sana hawa kenge
 
Njua wewe ni mwalimu. Kwa uandishi wako huu hakuna maarifa yoyote ya maana unayowapa wanafunzi wako. Imagine umeandika mwanzo mwisho hakuna nukta wala alama yoyote ya kiuandishi. Huwa unafundisha nini? Mpwayungu Village njoo huku
 
Namuona pale mkurugenzi akimwita mweka hazina wanateta jambo mweka hazina anamtupia lawama afisa elimu afisa alimu anakataa anasema wao washamaliza kila kitu suala kipo ofisi ya fedha, mkurugenzi anamrudia mweka hazina kuomba aone documents za malipo mweka hazina anajikanyaga kanyaga pale anaitwa mwahasibu alete documents mhasibbu analeta documents kungalia hivi documents zinaonyesha pesa ishatolewa mkurugenzi anadata pesa zipo wapi mweka hazina anasema zipo kwenye strong room yao wanayoifadhia pesa haya wanaenda hesabu pesa wanakuta milioni 20 haipo
Mkurugenzi anadata mweka haazina anasema boss nilijikopesha nilijua pesa z ile ingetoka mapema sasa imechelewa mkurugenzi anawaka anampa masaa sita pesa iwe imepatikana na walimu walipwe haki yao

NAWAZA TU SINEMA ILIVYO NA UKWELI LEO MNALIPWA MMESHITAKI SEHEMU SAHIHI JF UKO MAOFISINI HAKUKALIKI SASA
 
Hii hii awamu ya 6?
 
Ila tulipwe tukikupumulia kisogoni wewe
Yaani na wewe ni Mwalimu mwenye lugha hizi?
Nilichokuwa najaribu kupima uelewa wenu, kwamba SFNE hii ni kitu gani? Kama wewe ni Mwalimu uelewi vitu vidogo hivi utaweza kweli kufundisha complex matter?

Kingine jifunze kuwa na imani na mamlaka zako, 25/10 yaani kufikia leo umekuja kuwaandika humu kwa matusi manakudhurumu? Itoshe kusema we Ni mpumbavu uliepotelea kwenye ualimu. Nakusubiri.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Zinaonekana kwenye mfumo wa uzazi au?
Ulipoleta Jambo hapa JF nilidhan umeleta ili usaidiwe kama kuna watu Wana uwezo wa kulifatilia, ila nashangaa swala limeingia matusi na usiasa ndani. Jaribu kuheshimu watu na jifunze kutumia lugha nzuri kwa kila mtu. Hapa kuna watu wa umri na kazi tofauti. Niko sure kwa utofauti wetu wa umri, mimi ni kama mzazi wako.

kila eneo washalipwa hela, ukanda wa Sumve, ibindo, nyambiti, hungumalwa, shirima nk, Shule pekee ambayo hawajalipwa ni waliosimamia S/M Mwagingi. Kama wewe hujalipwa jaribu kuulizia wenzio uliokua nao kanda Yako, huenda ni issue ya kibinafsi zaidi.
 
Back
Top Bottom