Idara ya Elimu Msingi wilaya ya Kwimba huu ni Uhuni na Udhalilishaji wa Walimu

Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
3,903
3,817
Wakuu shalom!

Husikeni na mada tajwa hapo juu

Suala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku mkidanganya kwamba pesa mtaweka kwa account matokeo yake mnaanza usanii kwamba watu wameleta taarifa zisizo sahihi na upuuzi mwingine ambao kimsingi hamna hoja ya maana.

Tafadhali sana msitake kumchonganisha mkurugenzi na watumishi wake kwa huo ujuaji wenu hasa wewe mama unaehusika na malipo bahati nzuri sikufahamu jina haiwezekani mtu afanye kazi ya kitaifa halafu malipo yake inakuwa ni kashfa huyo mama ana majibu ya ovyo mno tunaomba mlipe fedha za walimu waliosimamia mitihani mkiendelea na huu upuuzi wenu tutapaza sauti kwa waziri mwenye dhamana kwa kuwataja wahusika wote mnaotuzungusha tukifika hapo ofisini kwenu

Tafadhali lipeni pesa za walimu kuweni japo na hofu ya Mungu ndio nyie mnasababisha walimu tunaonekana masikini mitaani huku.
 
Wakuu shalom!!husikeni na mada tajwa hapo juu Swala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku mkidanganya kwamba pesa mtaweka kwa account matokeo yake mnaanza usanii kwamba watu wameleta taarifa zisizo sahihi na upuuzi mwingine ambao kimsingi Hamna hoja ya maana tafadhali sana msitake kumchonganisha mkurugenzi na watumishi wake kwa huo ujuaji wenu hasa wewe mama unaehusika na malipo bahati nzuri sikufahamu jina haiwezekani mtu afanye kazi ya kitaifa halafu malipo yake inakua ni kashfa huyo mama ana majibu ya hovyo mno tunaomba mlipe fedha za walimu waliosimamia mitihani mkiendelea na huu upuuzi wenu tutapaza sauti kwa waziri mwenye dhamana kwa kuwataja wahusika wote mnaotuzungusha tukifika hapo ofisini kwenu tafadhali lipeni pesa za walimu kuweni japo na hofu ya Mungu ndio nyie mnasababisha walimu tunaonekana masikini mitaani huku
Mbona mtihani haujaisha, ndio unaendelea, kuwa mpole mwalimu, mshahara umetoka wiki ilopita tu Leo umeanza kulalamika. Nyie ndio mnadhalilisha ualimu.
 
Mtihani gani haujaisha kama hauhusiki kausha
 
Kama hujui kitu hulazimishwi kukoment. Kaandika SFNE akimaanisha mtihani wa taifa wa darasa la nne, je nao haujaisha?
 
Kwa hiyo Mwalimu ndo unaandika ujumbe mkubwa hivyo bila hata alama ya kituo?

Anyway poleni hiyo wilaya nasikia watumishi wake wanateseka kwa kila kitu.
 
Mtihani gani haujaisha kama hauhusiki kausha
Sio kila mtu lazma ahusike kama unavyotaka wewe. Baadhi ya walimu hapo hapo kwimba washalipwa wana zaidi ya wiki, kuna tatizo la kimfumo, hela zinaonekana kwenye mfumo ila hazitoki. Kuwa mpole Mzee wa Mwandu, wiki ijayo utawekewa
 
Awamu hii walimu hakuna rangi tutaacha ona...

Upumbavu mtupu.. hata huku nlipo hatujalipwa pesa ya semina na nauli...
 
Wakuu shalom!!husikeni na mada tajwa hapo juu Swala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku mkidanganya kwamba pesa mtaweka kwa account matokeo yake mnaanza usanii kwamba watu wameleta taarifa zisizo sahihi na upuuzi mwingine ambao kimsingi Hamna hoja ya maana tafadhali sana msitake kumchonganisha mkurugenzi na watumishi wake kwa huo ujuaji wenu hasa wewe mama unaehusika na malipo bahati nzuri sikufahamu jina haiwezekani mtu afanye kazi ya kitaifa halafu malipo yake inakua ni kashfa huyo mama ana majibu ya hovyo mno tunaomba mlipe fedha za walimu waliosimamia mitihani mkiendelea na huu upuuzi wenu tutapaza sauti kwa waziri mwenye dhamana kwa kuwataja wahusika wote mnaotuzungusha tukifika hapo ofisini kwenu tafadhali lipeni pesa za walimu kuweni japo na hofu ya Mungu ndio nyie mnasababisha walimu tunaonekana masikini mitaani huku
Hapo chini ungeandika

CC Mwenezi

Hiyo idara pangechimbika
 
Kwa hiyo Mwalimu ndo unaandika ujumbe mkubwa hivyo bila hata alama ya kituo?

Anyway poleni hiyo wilaya nasikia watumishi wake wanateseka kwa kila kitu.
Sio Wilaya hiyo tu..
Nchi nzima. Tunarudi zile zama za kisengseng..
Hela ya watu wapumbavu wanaikalia tu...
 
Back
Top Bottom