idadi ya wanawake wanaojilipia mahari, kufanya sherehe kwa garama zao wanazidi!!!

Hata sijaelewa unazungumzia wanawake wa aina gani maana kichwa cha habari kirefu kuliko thread!Kama ni wanawake wanaoolewa we shida yako nini?Kama wanazo na waume za watarajiwa hawana...ruksa kuwasaidia kufanikisha wanachotaka!
 
Either way, it's all good
unajua nchi za mashariki
Wanaume ndo wanaolewa
Lakini nchi za kiafrica
Mwanamke ndie anaeolewa
.....
 
Thread za usiku zina mambo kweli yaani title ndefu kuliko thread yenyewe??? Swali lenyewe halijakaa sawa sawa hebu malizia ulitaka kusemaje hao wanaooa ni wanawake wa wapi? Wanajilipia mahari?? Eeehhh sijaelewa ngoja kwanza
 
tupatie takwimu ili tuweze kujiridhisha na threads yako. tusije tukakurupuka kuchangia bure. maana kwa mazingira ya kwetu bongo inawezekana hiyo ikawa ni percentage ndogo katika ndoa zote. mhhhh,sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi sioni tatizo. Sa kama mdada amempenda mkaka, mkaka 'mambo hayajanyooka', hela ya mahari 'haijatimia', wanataka kuoana, harusi iwe nzuri, watu wale, wanywe.. Kuna ubaya gani 'tukitumia za kwako' halafu 'mi baadae' ntakurudishia, ile 'mipango yangu' ikitiki (mfano?)
 
Join Date : 29th March 2011
Posts : 2
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts



Rep Power : 0


msimlaumu sana ndio kajiunga jana!!!

Sarafina ongea na mwenzio mfundishe kutoa thread zenye shibe!! na zenye kukidhi mahitaji ya wana JF members!!
 
Join Date : 29th March 2011
Posts : 2
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts



Rep Power : 0


msimlaumu sana ndio kajiunga jana!!!

Sarafina ongea na mwenzio mfundishe kutoa thread zenye shibe!! na zenye kukidhi mahitaji ya wana JF members!!

Unamuumbua mwenzio mwenye kwamba mguuni wakati hata wewe una kamba mguuni. Umecomment hivyo kwa vile bado una kamba mguuni.
 
Back
Top Bottom