Obuntu JF-Expert Member Feb 6, 2008 510 34 Dec 14, 2010 #1 Wanajamii, Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam. Natanguliza shukrani Obuntu
Wanajamii, Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam. Natanguliza shukrani Obuntu