Mkuu wa IBM wa EA ndg Sawe anajua wapi ametupoteza maana alipewa kuongoza e_business ya Tz kama miaka 10 iliopita,hadi anaenda IBM hakuna la maana alilofanya zaidi kushiriki semina kama 100 hivi nje nchi na kupata posho lukuki la zaidi alilofanya kiutekelezaji zero kabisa sasa iliobakia ata copy hiyo master plan ya kenya aje apige pesa hapa tz kupitia vikampuni vyao vya mifukoni yetu macho subiri usikie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.