Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,436
- 4,430
JPM kamaliza kazi
Ni umimi na kujawa sifa za kijinga, kesho akifa au chama chake kikianguka mambo yatarudi kulekule. Ni vema akatengeza tanzania ya sasa na ya vizazi vijavyo.Katiba mpya amekataa,kasema mmuache kwanza awanyooshe
Yan wew hujui sheria hata kidogo,ata hvyo c kosa lako n kosala mwalimu wako.urais wa nchi n usukani wa kuendeshea gvt,anaweza kuushka rais,jaji mkuu spika wa bunge.sasa kwa nn useme mhiml mmoja unanguvu kuliko mwngne?.huyo makuful n mvunjifu wa makusudi wa katiba yetu.Nadhani Pascal hakupata mwalimu mzuri wa constitutional law. Nadharia ya awali ilikuwa kwamba hii mihimili ifanye kazi kila mhimili kivyake. Ikaja kugundulik kwamba hii haiwezekani. Wana nadharia wakaja na kitu inaitwa checks and balances ili iangaliane pia ikaonekana ni wazi kwamba muhimili wa executive una upper hand hasa mkuu wake anapokuwa pia mkuu wa dola. Kama wako sawa mbona sioni Jaji Mkuu akipata ulinzi sawa na Rais? Jaji Mkuj hana uwezo wa kutoa msamaha kwa mtu aliyefungwa ama kubadili hukumu ya mahakama ila kwa kupitia mahakama.
Wewe ndio hujui sheria hata kidogo wala hujui constitutional law.Yan wew hujui sheria hata kidogo,ata hvyo c kosa lako n kosala mwalimu wako.urais wa nchi n usukani wa kuendeshea gvt,anaweza kuushka rais,jaji mkuu spika wa bunge.sasa kwa nn useme mhiml mmoja unanguvu kuliko mwngne?.huyo makuful n mvunjifu wa makusudi wa katiba yetu.
Hata uwe na katiba nzuri kiasi gani, lazima mhimili mmoja uwe boss wa mihimili mingine. Na mhimili huo ni ule wenye pesa over.Nyerere alisema hivi "kwa katiba hii tuliyonayo anaweza kutokea kiongozi na kuitumia kwa maslahi yake" hii ni nukuu ya mwl nyerere akizungumzia uzuri na ubaya wa katiba tuliyonayo.
Suruhisho pekee kwa sasa ni kudai katiba mpya iliyopendekezwa na wananchi ili tuondoe u Miungu watu ambao umeliingilia taifa letu kwa sasa.
Swelana aka umtinki.