tatizo muda
Member
- Jan 26, 2017
- 97
- 69
bado sijamsikilizaUmesikiliza mahubir yke leo? Yalikua mazur balaaa.......tuache tofauti ya dini na madhehebu na makabila......mnavyomfikiria gwajima sivyooo...
mm binafs sikubaliani na ubaguzi wa aina yeyote uwe wa dini kabila au vyama vya siasa
nitamuunga mkono mtu yeyote kwa maslah ya nchi yetu
mm binafs siikubali ccm au niseme nilikua naichukia sana ccm lkn kwa sasa nakubaliana baadhi ya mambo anayofanya rais
nafikir weng tunakumbuka tukilalamikia sana nchi yetu kufanywa shamba la bibi hapa naunga mkono hatua anazochukua kushughulikia suala hilo
mm ni muumini wa kweli wa maendeleo ya nchi yetu mm binafs sina ukereketwa wa chama Bali nitamuunga mkono mtu yeyote atakaesimama kutetea maendeleo ya nchi hii
niseme wazi kama uchaguzi utafanyika leo upande wa vyama vya upinzani sijaona kiongozi yeyote ambae atapambana na magufuri ambae naweza kumpa kura yangu zaidi tundu lisu
tundu lisu namkubali sana na namwelewa vizur sana ana sifa nyinyi kwangu zinazonifanya nimpigie kura
kwanza misimamo yake anafanana sana na magufuri hawa wote si watu wa siasa siasa wanasimamia wanachokiamini kwa hilo hawakubali kuyumbishwa
pengine tundu lisu anayo sifa ya ziada yeye anapenda demokrasia na mtu kuwa huru huyu ndiyo rais anaefaa zaid baada ya maguri
Nina imani sana na hawa wawili hasa tundu lisu huyu ana sifa zanyingi za ndani yake mkweli mpenda haki hana mtandao wa watu
kama tunataka maendeleo ya nchi yetu lazima tujiepushe na ukereketwa wa vyama badala yake tushirikiane na yeyote anaepambana kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu