Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

Umesikiliza mahubir yke leo? Yalikua mazur balaaa.......tuache tofauti ya dini na madhehebu na makabila......mnavyomfikiria gwajima sivyooo...
bado sijamsikiliza
mm binafs sikubaliani na ubaguzi wa aina yeyote uwe wa dini kabila au vyama vya siasa

nitamuunga mkono mtu yeyote kwa maslah ya nchi yetu

mm binafs siikubali ccm au niseme nilikua naichukia sana ccm lkn kwa sasa nakubaliana baadhi ya mambo anayofanya rais

nafikir weng tunakumbuka tukilalamikia sana nchi yetu kufanywa shamba la bibi hapa naunga mkono hatua anazochukua kushughulikia suala hilo

mm ni muumini wa kweli wa maendeleo ya nchi yetu mm binafs sina ukereketwa wa chama Bali nitamuunga mkono mtu yeyote atakaesimama kutetea maendeleo ya nchi hii

niseme wazi kama uchaguzi utafanyika leo upande wa vyama vya upinzani sijaona kiongozi yeyote ambae atapambana na magufuri ambae naweza kumpa kura yangu zaidi tundu lisu

tundu lisu namkubali sana na namwelewa vizur sana ana sifa nyinyi kwangu zinazonifanya nimpigie kura

kwanza misimamo yake anafanana sana na magufuri hawa wote si watu wa siasa siasa wanasimamia wanachokiamini kwa hilo hawakubali kuyumbishwa

pengine tundu lisu anayo sifa ya ziada yeye anapenda demokrasia na mtu kuwa huru huyu ndiyo rais anaefaa zaid baada ya maguri

Nina imani sana na hawa wawili hasa tundu lisu huyu ana sifa zanyingi za ndani yake mkweli mpenda haki hana mtandao wa watu

kama tunataka maendeleo ya nchi yetu lazima tujiepushe na ukereketwa wa vyama badala yake tushirikiane na yeyote anaepambana kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu
 
hii inchi inasikitisha sana ss wananchi hatupaswi kumuunga mkono mtu yeyote anaetumia mambo ya kitaifa kwa maslah binafs

huyu mzee amejificha kwenye koti la kupambana na vyeti feki wakati hana dhamira hiyo dhamira yake kuu ni kilipiza kisas

huyu mtu si wakuungwa mkono anaetumia jambo la maslah ya nchi kwa maslah yake binafs hii haitusaidii kuleta maendeleo ndani nchi yetu

kwasababu huyu mzee hana tatizo na vyeti feki wala hana tatizo na wenye vyeti feki wengine bali huyu anapambana na mtu ili kulipa kisasi

ndiyo maana rais yupo makini hakukubali kutumika kumsaidia mtu huyu kutimiza malengo yake ya kulipa kisasi

na kwa vlie leo siasa za nchi hii zimepoteza mwelekeo hawana agenda yeyote wanayo simamia wanakuwa watu wa matukiyo ya mlipuko

agenda yao kubwa ilikua ufisad agenda hiyo sasa haina nafasi kutokana na rais aliyopo sasa kupambana kwa vitendo

kwa hiyo wanasiasa sasa hv wanategemea matukio ya mlipuko inakua ndiyo agenda yao siasa za namna hii tuzipinge kwa nguvu zote hazitusaidii kuleta maendeleo kwenye nchi yetu siasa zisizokua na malengo wala mipango maalum

wao kama wanasiasa lazima wawe na agenda wanazopigania kwa maslah ya nchi na siyo kutegemea matukio ya mlipuko

mapambano ya namna hii hayana tija kwa vyama vyao wala hayatusaidii kama nchi badala yake zinaturudisha nyuma

mathalan mapambano ya bashite mfano yakafanikiwa je ss kama wananchi au kama nchi itakua imetusaidia kwa maendeleo ya nchi yetu

kwasababu hawa wakifanikiwa hilo la kumuondoa bashite mapambano yao ya vyeti feki yatakua yamefika mwisho kwasababu hawana tatizo kabisa na wenye vyeti feki au wala rushwa wengine

bashite ni kama tone tu kwenye bahali utakua bado hujaisaidia nchi kuondoa tatizo Bali utakuwa umetimiza malengo yako tu

watu hawa watakaa pembeni na kuliacha tatizo la vyeti feki lipo palepale wakisubiri jambo lingine wapambane kwa maslah yao

hawa watu wameacha kuunga mkono vita vya kupambana na vyeti feki na wala rusha wao wamepeleka nguvu zao zote kupambana na mtu mmoja tena kwa maslahi yao binafs ya kulipa kisasi

namalizia kwa kusema tumpuuzie mtu yeyote au kundi lolote anaetumia jambo la kitaifa kwa maslah yake binafs

tusikubali kutumika na mtu au kikundi cha watu ambao wanaweka mambo yao binafs kwenye mambo ya kitaifa

TUIPENDE NCHI YETU TUUNGE MKONO MAPAMBANO YENYE DHAMIRA YA KULETA MAENDELEO YA NCHI YETU
Huyo unayetaka tumuunge mkono ni huyo anayemkingia kifua Bashite?!! Tuache upumbavu wala tusipangiane tunaamua sisi cha kufanya
 
Kama serikali mmeshindwa kufanya maamuzi mpaka vijana wanamuziki wanaamua kutunga nyimbo hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Wacheni waseme tena Mimi nawaunga mkono sana ney wa mitego na gwajima wameamua kufunguka potelea mbali kama ikiwakera nendeni mkawakamate
Hata wakiwakamata so long as hawachukui hatua na kumlinda bashite mashambulizi yatazidi mpaka mwisho Ainu kwa mkubwa.Mwache aweke pamba masikioni.
 
Naweza kuamini kiwango cha elimu Tanzania kimeshuka, kweli mtu na akili zako kabisa unaweza poteza muda kumuongelea Gwajima!!! Kile kiratasi chake ndio matokeo na cheti !!! Ama kweli taifa bado lina wajinga wengi
Bashite leta vyeti hapa
 
Salamu kwenu GT.

Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Paul Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma, Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho ataweka wazi cheti cha Paul Chris tian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda kupatia elimu ya chuo.

Kupitia account yake ya instagram, Askofu Gwajima ametoa dondoo.

Wale wazee fa fa fa fa faaaaa mjiandae kesho kwa vyuma kutoka kwa The Great Pastor ever asiyefumbia wala kupepesa macho dhidi ya maovu na uonevu kwa watanzania dhidi ya genge la wahuni wanaotumia madaraka yao vibaya.

Kesho macho na masikio yote kwenye kanisa la Ufunuo na Uzima.



safi sana
 
Yaani umeandika juu ya kikaratasi mlichoonyeshwa ndio unadai cheti, ha ha haaa tafuta wenzako mnaotetemeka, kama amewaonyesha kijikaratasi chenye data za uongo, na alivhochana luwaaminisha kimekaa miaka mingi ha ha haaa basi lolote atawaonyesha mfurahie na kujiju

Wewe kaa juu ya paa kaa wapi, ni maisha yako na uamuzi wako.

Ila ukae ukijua hauendi pale kumwabudu Mungu bali kufata udaku kwasababu umeyaandika mwenyewe, mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake.

Ukitoka hapo natumaini hutategemea Rais na RC wakuwekee chakula mezani.

Hapa kazi tu
Hebu weka kikaratasi chenye data za ukweli kama mna jeuri hiyo! Kutwa kutetea fafa na utetezi wako nao fafa-aibu!
 
Tuna mkuu wa mkoa wa Dae es Salamu aliyefoji vyeti yy ni Daudi Bashite anajiita Paulo ni ujinga kiwango cha lami
 
Huyu mchungaji channel gani huwa anarusha matangazo na mim nidhurie anavyochinjwa kiumbe yule,
 
Nasikia kawaalika wasanii wachekeshaji eti watatumbuiza Kanisani...

Kanisa lake limetumia vizuri sana mgogoro uliopo kuongeza idadi ya wahidhuriaji Kanisani na sadaka zimeongezeka sana....kesho najua ndio hitimisho la kumbwatukia
Makonda kwahio anajitahidi

fikra zako tu coz sadaka sio lazima kwa mtu kutoa acha fikra za kiabunuasi nenda katembelee uone

kuadvertise sana kuhusu
kesho ili kuwavuta waumini na wananchi wahudhurie kwa
wingi aingize pesa
mfukono....kuishi mjini
kunajitaji akili za ziada.
 
Yaani umeandika juu ya kikaratasi mlichoonyeshwa ndio unadai cheti, ha ha haaa tafuta wenzako mnaotetemeka, kama amewaonyesha kijikaratasi chenye data za uongo, na alivhochana luwaaminisha kimekaa miaka mingi ha ha haaa basi lolote atawaonyesha mfurahie na kujiju

Wewe kaa juu ya paa kaa wapi, ni maisha yako na uamuzi wako.

Ila ukae ukijua hauendi pale kumwabudu Mungu bali kufata udaku kwasababu umeyaandika mwenyewe, mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake.

Ukitoka hapo natumaini hutategemea Rais na RC wakuwekee chakula mezani.

Hapa kazi tu
Dada kwenye maswala ya vyeti husizungumzie kabisa maana hiyo fani inahitaji wataalamu....baki kuwa mshabiki...
Nenda kwenye law of evidence act...part III...section 64 na 65....kama ni fafafa tafuta mtu akueleweshe kuhusu hayo maswala ya vyeti.
Hivyo vyeti ulivyonavyo wewe vya kidato cha nne, sijui vyuo kama umefika kisheria ni copy of original...hata ukipeleka mahakaman lazma viwe proved na institution husika....mfano necta au vizazi na vifo...
Gwajima katoa matokeo/vyeti au vyovyote utakavyoweza kuita...NECTA ndiyo inayohitajika kuprove kama matokeo ni ya ukweli au lah!!!
 
Hebu weka kikaratasi chenye data za ukweli kama mna jeuri hiyo! Kutwa kutetea fafa na utetezi wako nao fafa-aibu!

Ha ha ha haaaaaaaa

Ila kile kikaratasi hapana, bado siamini aliwafikiria mko hivyo kuwaonyesha na akawapata haswaaaa.

Nachekaaaaaa
 
Dada kwenye maswala ya vyeti husizungumzie kabisa maana hiyo fani inahitaji wataalamu....baki kuwa mshabiki...
Nenda kwenye law of evidence act...part III...section 64 na 65....kama ni fafafa tafuta mtu akueleweshe kuhusu hayo maswala ya vyeti.
Hivyo vyeti ulivyonavyo wewe vya kidato cha nne, sijui vyuo kama umefika kisheria ni copy of original...hata ukipeleka mahakaman lazma viwe proved na institution husika....mfano necta au vizazi na vifo...
Gwajima katoa matokeo/vyeti au vyovyote utakavyoweza kuita...NECTA ndiyo inayohitajika kuprove kama matokeo ni ya ukweli au lah!!!


Bado nawacheka kabisaaaaa

Ngoja nikuongezew kama ulikuwa haujui, hata data za kwenye kikaratasi ni feki, aliyetunga uongo hata kazi ya mengi bora kumpa sisimizi hakutumia akili kabisa yaani kabisa.

Nenda kaangalie na hiyo law yako sijui ujuzi gani.

Ciao!

Makonda oyeeeeee
 
Back
Top Bottom