Ibada maalum imefanyika leo eneo la ajali Karatu

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,145
Ibada hiyo imeongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu ikihusisha viongozi wa dini zote na wananchi.

Dua na maombi yamefanyika eneo la ajali ambapo binafsi nimehudhuria. Ibada hiyo imetanguliwa na tambiko la kimila lililofanywa na wazee wa kimila juzi siku ya Jumanne.

Tuendelee kuwaombea wanafunzi wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali hiyo.

IMG-20170511-WA0018.jpg
 
Viongozi gani wa dini walioshiriki ibada hiyo?
 
Hao wazee wa tambiko ni kwanini wawahi hivyo au ni wazee wa eneo hilo na wanahusika
 
Dini za kikristu na kiislam...ndio dini zote za karatu
Tangu lini serikali imetambua mambo ya matambiko na imani, ilhali katiba inasema serikali haina dini na haitambui ushirikina!
Mkuu wa Wilaya ameshiriki kama serikali au kwa imani yake!
 
Kuchanganya madawa ndo huko matambiko ibada maombi hivi ni mungu gani huyo mjinga namna hiyo asikie maombi hayo?Mungu ninaemjua si wa michanganyo hivyo
 
Wamefanyia tambiko na maombi nchi nzima sabab kesho ajar haitatokea hapo bal kwingine
 
Nafikiri anamaanisha leo ilikuwa ni ibada ya dini zote tambiko lilishafanyika siku ya jumatatu wazee wa mila walikuwepo eneo la ajali na kondoo.
 
Back
Top Bottom