Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 82
Imetokea baba yako mzazi anampenzi wake ambae ni mzuri mwenye kuwavutia vijana wengi ,umri wake ni sawa wewe au umemzidi kidogo ,lakini kuna hali imejitokeza anashindwa kujizuwia mnapokuwa peke yenu ,anakuonesha kila ishara kuwa she is willing for anything with you siku moja anakuvamia mwili mnapurukushana nguo zake na zako mnachaniyana mnawekana alama za majeraha mwilini (makucha) baada ya hapo anakwambia sasa tufanye nakama hutaki nitamueleza mzee wako pia nitaenda polisi ushahidi ndio huu Jee utafanyaje ? utakula kitam tam cha mwili au utamkabili mzee pamoja na polisi?