I Want Your Body

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Imetokea baba yako mzazi anampenzi wake ambae ni mzuri mwenye kuwavutia vijana wengi ,umri wake ni sawa wewe au umemzidi kidogo ,lakini kuna hali imejitokeza anashindwa kujizuwia mnapokuwa peke yenu ,anakuonesha kila ishara kuwa she is willing for anything with you siku moja anakuvamia mwili mnapurukushana nguo zake na zako mnachaniyana mnawekana alama za majeraha mwilini (makucha) baada ya hapo anakwambia sasa tufanye nakama hutaki nitamueleza mzee wako pia nitaenda polisi ushahidi ndio huu Jee utafanyaje ? utakula kitam tam cha mwili au utamkabili mzee pamoja na polisi?
 
Wewe tuambie kwanza utafanyaje coz unahusika pia. Ka swali kako kamtego!
 
Imetokea baba yako mzazi anampenzi wake ambae ni mzuri mwenye kuwavutia vijana wengi ,umri wake ni sawa wewe au umemzidi kidogo ,lakini kuna hali imejitokeza anashindwa kujizuwia mnapokuwa peke yenu ,anakuonesha kila ishara kuwa she is willing for anything with you siku moja anakuvamia mwili mnapurukushana nguo zake na zako mnachaniyana mnawekana alama za majeraha mwilini (makucha) baada ya hapo anakwambia sasa tufanye nakama hutaki nitamueleza mzee wako pia nitaenda polisi ushahidi ndio huu Jee utafanyaje ? utakula kitam tam cha mwili au utamkabili mzee pamoja na polisi?
sasa katika mazingira kama hayo kondom mnapata wapi? au huyo mwanamke anataka aue baba na mwana? mwambie ngoja nikatafute kondom kisha unasepa.
 
Eheee wewe ndani ya new millennium bado unauliza kondom ?watu siku hizi wanatumia njia isiyoleta mimba kabisa, hakuna tena kutaharuki kama zamani.
 
hapoa wala sina ahida namwambia aende kumwambia mdingi tuu.....majeraha ya mtu anahebakwa ni tofahti sana na hayo ya bahati mbaya plus hamna dalili yoyote ya forced entry so hana lolote hapo
 
mpaka mfike kuparurana huyo mamaako wa kufikia baunsa? mwanamke si kumsukuma tu ukashika njia ukaenda zako, hapo ulishamfinger malizia tu.
 
kataa kata kata, dhambi hiyo then mwambie na dingi dhambi dingi unakaribia kufa acha!!!!
 
Back
Top Bottom