I think she is cheating!

Thanks siwezi gombana nae. Nitapiga cha mwisho then nachoka soon natafuta mwingi wakukaba pengo wakatinaendelea kutafuta wakuweka ndani.
Hiki ndiyo kitakachopelekea ujauzito.
Then utaanza kujiuliza kama mtoto ni wako au la!
Si unajua watoto wa kuiba wanavyofanana na mama zao kuliko mwizi mwenyewe?
 
hahahah aet rejea kwenye folen zetu..kweli lakini..ila kutaka kufumania ni kujitafutia magonjwa mengine ya ziada bila sababu
Yaani ni bora uende ukajue ukweli kuliko kujitesa kwa kuhisi tu.Kujitesa kwa kuhisi kuna maumivu ya muda mrefu, bora ufumanie ufanye maamuzi hapohapo
 
take it positive tu.. otherwise utapata magonjwa ya moyo..mwenzako wekend labda uwe anawahi kulala anasahau kukuaga....au sababu zingine tu...sio lazima anakucheat ndo iwe sababu ya kutopokea simu,,wadada wanaocheat ni wapokeaji wa simu wazur tu za mabeby zao, yaani hata huwez ukafikiria.. labda asiwe binti was mjini..so brother take it positive na amani ya bwana yesu itawale moyon mwako..

Amina. Thanks very much kwa ushauri wako. Naamini hafanyi hivyo ila imeaanza kunipa wacwac. Some time action speak more than words so i am trying kureason y she is doing that but i am very sure kesho nitatimba pale mida ya sanne after work na najua nikikaa nae mpaka jtatu asubuhi ninavyo rudi job daslam nitakuwa na jibu kamili. Nampenda sana na ninamwamini sana but kuna kakitu nilinote ndikokaliko sababisha nianze kuwa na wacwac
 
hahahah aet rejea kwenye folen zetu..kweli lakini..ila kutaka kufumania ni kujitafutia magonjwa mengine ya ziada bila sababu

Umenena ndugu. Ulichokisema nina experience nacho hadi nikafikia kujilaumu kwa nini nilifuatilia.
 
Habari wana JF.

Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.

Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
Wewe Mwamini tu. Kama vipi jiondoe maana utazidi kuumia zaidi.
 
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.

Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)

Umemueleza vema kabisaaa..!
 
MASOMO MBALI YAPO ILA HAKUNAGA MAPENZI YA MBALI DUNIA MZIMA,UMESHAIBIWA TAFUTA MASHINE NYINGINE ILIYOKARIBU NAWE NA BARIDI HILI LA MJINI NAKUONEA HURUMA SANA,WE UNAFIKIRI MWENZAKO HACHAPIKI HUKO!!!!Childish thread-chukua maamuzi magumu
 
Ondoa shaka. Nitakuja kuwaongezea mtazamo juu ya wanawake if that wil be -ve.Naweka mambo sawa hapa kwaofc ilinichomoke keshojion. Tiket ipo mkonon lol!
Pole sana mkuu,
Huyo mchumba wako yuko Masasi?
 
Muu FImbo ya mbali........sepa tu kamanda kuna mjanja anajigongea taratiiiiiiiiiiiiiiiibu
 
Wakati mnaanza Mapenzi yenu ya kufatana Mikoani kila wiki haikuwa shida,ulijihisi raha kwenda kama Mkuu wa mkoa anapoenda kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne...Mpenzi wako alijisikia kama Malkia vile na akaamini Distance si kikwazo tena..

Long Distance Relationships sio kama vinyweleo kila mtu anavyo,inataka Moyo,Kujitoa na Sacrifice sana,kama unajua huna hizi sifa 3 usiingie!Poleni sana mlioambiwa Distance sio ishu,maana sasa imekuwa BIG ISSUE!Wote mko Tanzania hii lakini hamuonani utadhani Boyfriend kaenda vitani Iraq kumbe yuko hapahapa,chezea Distance wewe!

speaking from experience
 
hellow. Mi naona uamuz uliochkua wa kwenda kujua mbivu na mbichi ni mzuri ili ujue kuliko kupotezeana muda then unaishia kuumia mwisho wa cku. plz naomba nkupe ushaur kuwa ukienda uwe mpole ili uweze kujua na taratib utagundua. Even me yameshanikuta,nmekaa kwenye relationship na m2 for 6 years na last year kaja kunitenda. Nlifunga had safar kumfwata mkoan na kupoteza mda na pesa kwa ajil yake na asiseme km anam2 mwingine na nkarud vizur bila kugundua ki2.
 
cz alikua anapenda kuzima cm tukiwa pa1. Nmekuja kujua nlivorud hom akawa anamzimia cm km ivo hasa wakat wa ucku au anaacha cm rum ye anajifanya anaenda kusoma na akirud hanitafuti hewani na wala hanijulii hali mpk nimtafute. cku 1 nkaamua kumpigia nkaongea nae kiupole sana akadmit ukweli. kutokana na alivontesa sana mpk kuja kujua ukweli nkaamua kuachana nae na kuanza maisha mengine away 4rm him. Xa iv anarud kuomba msamaha ati aliteleza. Nmempotezaje?? Cz n muuaji. Xo bro kila la kheri na usiope
Millicom
 
Habari wana JF.

Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.

Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.

Issue hapa sio long distance relationship. Kuna wapenzi wanaishi mkoa mmoja, wilaya moja lakini vitabia kama hivi vinawakumba. Nimekuwa najiuliza bila majibu inakuwaje mpenzi wako unampigia simu, hapokei anyway inawezekana yuko mbali na simu/busy. Ninavyojua mimi once unapokuta either sms/simu kutoka kwa umpendaye unatakiwa uijibu mapema. sasa unakuta yanapita masaa mengi tu na wakati mwingie siku kadhaa wala haangaiki kukutafuta. Huwa najiuliza ni kweli mtu wa aina hii huwa ana mapenzi ya dhati? au kuna game anacheza? mpaka leo bado sijapata majibu ya swali hili.

Mtoa mada nilichokuwa nataka kuongelea ni kwamba wapo watu wengi (ambao wako serious na hii kitu) wamefanikiwa na long distance relationships na sasa wana - enjoy hivyo usiogope, ila kwa mazingira hayo unatakiwa ufanye utafiti wa karibu, kubaini tatizo ni nini?
 
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.

Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)
Tatizo la mwanadamu ni kwamba hajui nafsi zinawasiliana na kuona kila kitu bila mipaka ya umbali hapo jamaa alipo keshaona ushenzi wote demu wake anaofanya na jamaa mwingine lakini inamjia in terms of hunches kutokana na umbali uliojengwa na maovu yake kati ya nasi na mwili; nafsi inajitahidi kupitisha hizo taarifa kuja kwenye ufahamu wa nje lakini hazifiki kutokana na bonde hilo. Hunches zinatosha kuamua ili mradi zinadumu kukujia.
 
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.

Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)

thats a pure fact kwa mtu muelewa atafanyia kazi huu ushauri kama hawezi kukusikiliza saa hivi kwenye uchumba ataweza kukusikiliza kwenye ndoa .......

note :unapoamua kufanya maamuzi fanya kweli na uwe tayari kwa positive and negative effects
 
Back
Top Bottom