I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

Sitaweza kuvumilia kukukosa hapa, kwa hiyo hebu usiseme kitu huna ushahidi nacho Gaijin...

Lol Kaizer

Ngoja tu basi twende hivyo hivyo wanavyotaka.

Jux ukimuona The Finest kisha kumbe ni below your expectations itakuwaje?

Kapenda KH! Bora asiumie roho yake na aweke jitihada zaidi za kumnasa mhusika.

mhhhh...umeona ile sredi ingine haitoshi, ukaanzisha nyingine???!!!.....mhhhhh!!!!! POLE

Last edited by a moderator:
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

Usijiulize uanzeje, hapo umeshaanza na kumaliza... Subiria majibu tu!!!

Lol Kaizer

Ngoja tu basi twende hivyo hivyo wanavyotaka.

Jux ukimuona The Finest kisha kumbe ni below your expectations itakuwaje?

Dada yangu kila kitu ni mipango ya Mungu

Kapenda KH! Bora asiumie roho yake na aweke jitihada zaidi za kumnasa mhusika.

jina lako linafanana na la mtu flani hv.

Last edited by a moderator:
Kiongozi, just FYI, Gaijin ni mwalimu mwelekezi, wala usitie shaka

Ngoja nicheki naye faragha, mana nina tatizo ambalo nadhani wa kulitatua ni yeye....nimetafuta mtatuzi miaka nenda miaka rudi pasi mafanikio...kumbe tunaye humu humu..!

Kaizer nakuona unanichuuza.....lkn akae akijua wanafunzi legelege hawatavumiliwa :))

Waweza kuta denti mwenyewe ndo staili ile ya akina Bill Gates, kina Mark wa facebook na yule founder wa Apple computers....darasani si mzuri kivile ila Invention usipime.

Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

nakuunga mkono ndugu, maana hata mm kuna member nampenda humu ndani sema ndiyo hivyo. sielewi kama ni mwanaume au la!

Waweza kuta denti mwenyewe ndo staili ile ya akina Bill Gates, kina Mark wa facebook na yule founder wa Apple computers....darasani si mzuri kivile ila Invention usipime.

Hiyo Avatar tu kichefuchefu

It was nice having you on this thread, you can go now

Ciao ciao

Similar Discussions

Back
Top Bottom