Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
kipipi mwambie kaizer hajui kinachoendelea
Anyways......
Beware of such silence.....so that it won't kill your potentials silently too!!
Thanx kwa kujali dearest, dont u worry my dear......
Nimeshamwambia...
Na vilevile hata wanga wote wanatakiwa wajue...
Alafu, huyo kijana mwambie ajitokeze basi na yeye aappriciate! lol
ameshajitokeza umeona hapo katupia ma like...
Nimeona bibie..
Mwambie basi atupie na comment!
did u see the mkereketwa huyu's msg?
Not yet my dear!!
I haven't seen any...
kwenye hii thread ukurasa wa pili.
Kumbe unamzungumzia huyo mkereketwa na ngao yake ya tanzagiza??
Achana na watu walokata tamaa.....anadhani kila lililomtokea yeye basi lazima na wenzie liwakute?
BTW, anazungumzia level zake na sio level kama zako....:smash::smash::smash:
comments zako zinanipa raha sana....i like u. kweli kabisa amekata tamaa cku hakipata mwenye mapenzi ya dhati atarudi na thread kutuhabarisha.
thank you so much kipipi 4 ur extremely nice wishes,, hope God will show us more and more.....!!