I need a girl to love

kwenye hii thread ukurasa wa pili.

Kumbe unamzungumzia huyo mkereketwa na ngao yake ya tanzagiza??
Achana na watu walokata tamaa.....anadhani kila lililomtokea yeye basi lazima na wenzie liwakute?

BTW, anazungumzia level zake na sio level kama zako....:smash::smash::smash:
 
comments zako zinanipa raha sana....i like u. kweli kabisa amekata tamaa cku hakipata mwenye mapenzi ya dhati atarudi na thread kutuhabarisha.
 
Kikubwa ni upendo mwaya......
Hayo mengine ni matokeo tu!

Ukiona mtu hana uthubutu, mpishe aende zake!
 
Nice one felinda...

But...hata kunitonya mpendwa wangu..hakuna hadi naulizia?? lol

Anyways....good luck dearest! :A S-heart-2:

thank you so much kipipi 4 ur extremely nice wishes,, hope God will show us more and more.....!!
 
Wow....my pleasure!! Am glad for you dears......and I long you be the ones to bond with tenderness for each other! Kipipi prays for the best of luck...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom