I miss you CharmingLady

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..

niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu
 
Last edited by a moderator:
C6 najua una wivu sana ila kumbuka nilikuja mwenyewe ila na ma wife Amyner wivu ukamjaa nae ndio nimetoka kumpokea Airport sasa hivi so achana na wivu relux meeeen!
Mwambie charminglady akiweza aje akae na wifi yake baadae baada ya kupumzika kidogo.
Otherwise ona albam yetu hapo chini
Amyner b52.gif
 
Laiti waume zetu au wake zenu wangejua ID zetu na Majina tunayoitana humu CC,
Wote tungekuwa tumerudishwa Makwetu.
:focus: Amekusikia.
Heheheeee ndoa nyingi zingekuwa hatiani ikiwemo ya Asprin lol
Nimekukumbuka babu....! Najua uko kijijini umeanzisha bishara ya kuuza mbwa sawa!
mmm.jpg
 
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..

niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu

Muandikie barua mkuu. Ha ha haaa!!! Sio siri mkuu umenikumbusha enzi zile nilipokuwa nikijifunza kutongoza kwa barua...demu si akanipiga chini halafu akapeleka barua kwa mshua...niligongwaje stiki...tokea siku hiyo nikachange system ya kutongoza sasa hivi ni mwendo wa kwenda live bila chenga kudadadeki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom