I Luv HERITIER WATANABE a.k.a."Wata"

Huyu dogo anambeba sana werrason sio siri....ameziba kabisa pengo la ferre gola,werra amshike huyu sasa maana nae vijana wanamkibia kimbia sana kwa kuwa anawapunja sana hela wakati wanafanya kazi kubwa.
 
Back
Top Bottom