I have to do...ila isiwe Arusha

katika maombi niliyokuwa naomba kila cku moja wapo ni hili.
Plz naomba ni Pm niweze kutimiza maomb yangu. Ukwel Mungu kajib maombi.
 
We mwendawazimau kama siyo mpumbavu 100%. Siri ipi na concious itakutesa! labda una ka ugonjwa kako unawasupply waume wa wenzako. Watch out gal! You dont know men, watakufilimba kinoma.
 
Ningekujua unaishi mtaa gani hapa town ningekupeleka kwa dokta muamed ukapimwe, nahic akili yako imeingiwa na mafuta ya taa.
 
Ningekujua unaishi mtaa gani hapa town ningekupeleka kwa dokta muamed ukapimwe, nahic akili yako imeingiwa na mafuta ya taa.
bora hata ingekuwa mafuta ya taa. nadhani ni hydrochloric acid, inachakaza mpaka mpaka the most critical thinking part. sijui huyu msichana anaona sifa kulaza laza kila aina ya mabomba kwenye mtaro wake au vipi?
 
Mkuu bado ulikuwa unawaamini? Siku hizi si wanaume si wanawake wote sio waaminifu
shakazulu, mimi ni mwaminifu, siwezi laza bomba langu kwa mtaro sijauchimba mimi. kama yeye atanisaliti poa Mungu yupo ila mimi siwezi fanya kitu kama hicho. awali nilikua kicheche ila sasa mtu mzima, ujinga sitaki
 
wana jf nawasalim


my boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke

my problem is this:kaniachia kigari chake (starlet) na hivyo kuniongezea mizunguko isiyokuwa na lazima na tena mpaka usiku, napata mihemko sana na nahisi soon nitateleza na tena naweza jikuta nateleza kwa mkaka wa mtaani kwetu (ofisini haiwezekani 100%)

naweza hivi: Mara mmoja kwa mwezi niwe nakuwa njee ya arusha with mtu ni mtu provided hanijui na hana hata detail yangu yeyote.again tatizo ni how i will pick this person note that asiwe mtu wa arusha ili iwe siri kuu



note:the banned marytina yupo arusha, baba mngoni,mama mchagga nitamfikishia ujumbe wowote incase







for sure you don't deserve to be counted as a great thinker, haya mambo ni ya kwenye facebook bana.
 
Msalimie Marytina.............., maana na yeye alishawahi kusema...I live my fully life at JF, sina cha kuficha.

Ila ushauri tu wala usifanye hivyo dear,...bado unaweza ukadhibiti hiyo mihemko if u decide. Keep yourself busy, usiangalie movies ambazo zitakuchemsha, bila kumsamhau Mungu ambaye ndo anatusaidia katika kila eneo!

Ubarikiwe
 
for sure you don't deserve to be counted as a great thinker, haya mambo ni ya kwenye facebook bana.
Sio kwamba she dont derseve that way,ila inaonekana ni binti mtoka kubaya asie na malezi ya wazazi wawili,soni,adabu.
 
......dah...!!!sijui kama jamaa anasoma thread kama hii huko alipo akirudi itakuwaje!halafu na wewe,sikumalizi kwa kweli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom