Mwandikie msg kwa namba nyingine ujifanye ni mtu mwingine mwambie umekufa....
Atakutafuta then utajua la kufanya....
Watoto siku hizi hawasomi bila mahaba....Kama Ndo tabia zenu nyie wanaume msio na mawazo chanya hili lasikitisha, Kama humtaki si umwache? Mwacheni mtoto asome pumbafuuuiu!
Kwanza utakuta kaenda moshi kea mumewe jamaa anajua yuko shule/chuo.......hujawahi mfikisha ktk theluji ya mt.kilimanjaro... Kaenda huko kakutana na wapandisha kilele... Unategemea nin?
Pole sana.
mi nahis yuko na huyu jamaa....naona kaona azingatie masomo yake mapenzi baade