I do call and text her but she never reply

Ni nani, mama ako, dada, mkeo, girlfriend, one night stand, rafiki wako, au kitu gani?
 
Mtumie pesa za kujibu msg...hujui yuko shule??
Nitumie namba yake nikusaidie kumtafuta
 
Huu Ndo ubinafsi Wa wanaume, haujui hawaruhisiwi kuwa na Simu shule, na akiwa NAyo anajificha, wewe unataka niñi sasa? Hujui anasoma? Acha upuuzi wewe!

QUOTE=Rowland Joseph;3753409]She is so wonderfu and extremely supportive but tangu aende shule Moshi huwa hapokei au kuni jibu meseji zangu, am really confused coz i cherish her love and care. Nisaidieni nifanyeje ?[/QUOTE]
 
Kama Ndo tabia zenu nyie wanaume msio na mawazo chanya hili lasikitisha, Kama humtaki si umwache? Mwacheni mtoto asome pumbafuuuiu!


Mwandikie msg kwa namba nyingine ujifanye ni mtu mwingine mwambie umekufa....
Atakutafuta then utajua la kufanya....
 
...hujawahi mfikisha ktk theluji ya mt.kilimanjaro... Kaenda huko kakutana na wapandisha kilele... Unategemea nin?
Pole sana.
 
Kama Ndo tabia zenu nyie wanaume msio na mawazo chanya hili lasikitisha, Kama humtaki si umwache? Mwacheni mtoto asome pumbafuuuiu!
Watoto siku hizi hawasomi bila mahaba....
Kama huyo denti angekuwa katulia asingekuwa na huyu jibaba...kumbuka hawa ni wapenzi sema shule imewatenganisha tu....
Kwanza alisikia unamwonea huruma ye ndo atakushangaa sana unapoteza muda...
Mambo siku hizi ni msambamba
 
...hujawahi mfikisha ktk theluji ya mt.kilimanjaro... Kaenda huko kakutana na wapandisha kilele... Unategemea nin?
Pole sana.
Kwanza utakuta kaenda moshi kea mumewe jamaa anajua yuko shule/chuo....
 

Attachments

  • 56664.jpg
    56664.jpg
    1.9 KB · Views: 59
mtumie email mkuu.
Au angalia fb status, kama ziko updated. Otherwise ujue hana mawasiliano. Kama simu inaita kila siku kazana mpaka iishe chaji.

Ni shule ngazi gani kwani? Sekondari au chuo Polisi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom