I am single again...'Honesty' is not the best policy!!

when you're not happy in a relationship that's what normally happens..anaweza akaja mtu wa nje akakupa attention kidogo tayari ushaingia line...it happens alot..kama alikua anaku neglect na ulishamwambia hakubadilika then sio kosa lako tena hapo ashukuru it was a just a kiss na ulikubali alivyookuliza maana yangeweza kua zaidi ya hayo..

lakini hata hivo sikupaswa kufanya ivo..but for now maji yameshamwagika!
 
tatizo langu huwa nikisom thread jamii ya hizi huwa napatwa na maswali kibao kwa mleta mada

1. mwenza wako ulikuwa unampenda na kumthamini?

2. ni mara ngapi unakutana na huyo jamaa ? je kila ukikutana nae mnakiss?

3. mahusiano yako na huyo jamaa yakoje?

4. wakati unafanya tendo hili je ulikuwa umeondokewa na hali ya kibinadamu(diminished responsibility) au kulikuwa na chembechembe za wendawazimu (insanity) kiasi cha kumkwaza mwenzako?

5. kama ni rafiki yako wa kawaida na hujawahi kuwa na mahusianao nae wala kumfikiria kuwa nae je una marafiki wangapi (kama wapo) ambao umewahi kukiss nao? ni huyo tu mmoja?

6. chukulia mfano ungekuwa ni wewe na bf(x) akafanya hivyo ungejisikiaje?

7. hapo ulipo na kwa kitendo hicho unahisi kuidhulumu nafsi ? ( maana ndege mnana kapaa)
8. ili iwe bahati mbaya na kwamba hukudhamilia bali ilitokea tu kiasi cha kumfanya mwenza wako akae juu ya dari kwenye kona kabisa.je kipi kilipelekea tukio hilo kutokea
9. do know the meaning of being '' honest''?

10. mahusiano ako na bf (x) yalikuwaje kabla ya kuachana?
 
yeah..if you thought honesty is the best policy you thought wrong.yamenitokea puani jamani.

so i kissed another guy and to God i swear it meant nothing at all. i was feeling neglected, told him about it and he wouldnt take me serious.

am not saying that what i did was ok..infanct i am apalled! sikufikiria kumwambia at first-nilifagilia vumbi chini ya carpet but i couldnt live with myself (plus he kinda heard about it-ouch) so when he asked i was scared to admit it but finally i thought it better to tell the truth.
so i come clean and nikapigwa kibuti cha pua..so much for honesty..

so am on the hunt gain..with a lesson at hand-ukubwa jaa!

Dude....you used rock tunes to the slow jam fan.....change the melody....
 
Hii kiss ilikuwaje? Ni ile ya kuingiziana ndimi ndani ya vinywa na kuzizungusha kama hamna akili nzuri au ni ile ya kuchum shavu la mtu wa jinsia tofauti. Hii ya kwanza haiwezi kuwa accident ila hii ya pili inajadilika.
 
Atakuja mwingine abaye atakuwa OK ukim-kiss rafiki wa rafiki

Best-Lower-Stomach-Tattoo-Design-for-Girls.jpg
 
Kosa sio kusema ukweli, kosa ni kufanya kitu kilichopelekea huo ukweli. Jitahidi kuwa faithful kabla ya kulaumu idea ya kuwa 'mkweli'.
 
Kosa sio kusema ukweli, kosa ni kufanya kitu kilichopelekea huo ukweli. Jitahidi kuwa faithful kabla ya kulaumu idea ya kuwa 'mkweli'.
Lizzy............nimekukosea nini kwani?
 
Last edited by a moderator:
Kosa sio kusema ukweli, kosa ni kufanya kitu kilichopelekea huo ukweli. Jitahidi kuwa faithful kabla ya kulaumu idea ya kuwa 'mkweli'.

kitu ambacho nimekubaliana tangu mwanzo!!
 
tatizo langu huwa nikisom thread jamii ya hizi huwa napatwa na maswali kibao kwa mleta mada

1. mwenza wako ulikuwa unampenda na kumthamini?

2. ni mara ngapi unakutana na huyo jamaa ? je kila ukikutana nae mnakiss?

3. mahusiano yako na huyo jamaa yakoje?

4. wakati unafanya tendo hili je ulikuwa umeondokewa na hali ya kibinadamu(diminished responsibility) au kulikuwa na chembechembe za wendawazimu (insanity) kiasi cha kumkwaza mwenzako?

5. kama ni rafiki yako wa kawaida na hujawahi kuwa na mahusianao nae wala kumfikiria kuwa nae je una marafiki wangapi (kama wapo) ambao umewahi kukiss nao? ni huyo tu mmoja?

6. chukulia mfano ungekuwa ni wewe na bf(x) akafanya hivyo ungejisikiaje?

7. hapo ulipo na kwa kitendo hicho unahisi kuidhulumu nafsi ? ( maana ndege mnana kapaa)
8. ili iwe bahati mbaya na kwamba hukudhamilia bali ilitokea tu kiasi cha kumfanya mwenza wako akae juu ya dari kwenye kona kabisa.je kipi kilipelekea tukio hilo kutokea
9. do know the meaning of being '' honest''?

10. mahusiano ako na bf (x) yalikuwaje kabla ya kuachana?

uongo mmbaya..i have answered all of those questions above.labda kama unalo la ziada..!i wonder if you took the time to read other posts??
 
Pole mwaya ndo maana wengine hukana hata kama wamefumwa red hand...

Ila kama alikuwa anakuneglect si heri kasepa? Utapata atakayekuthamini....
 
pole...u'll just get over him..kama ulikua honest uka admit the truth alitakiwa akusamehe if he really loved u
 
i wish he did..lakini he is allowed a reaction of his own and if that meant dumping me i am living with that!
thank you..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom