Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Oh no i will pass!....
Don worry, will sleep on the couch and wont charge you!
Oh no i will pass!....
Shem yule nani hii H.....wari hajajibu sijui ni kibuyu kimelia hahahahahah mhhhh!!
Don worry, will sleep on the couch and wont charge you!
Mwenye mali nimerudi....nilikuwa busy kidogo....Cupcake...don't worry hun....just give me a few mins..okay babes?
Na katika hali hii ya recession "vibaka" watazidi...
Hiyo ndiyo advantage wanaume wanayotumia once wakiona mwanamke anamatatizo...i will pass hata ilo kochi!..
Mitego shem hiyo.....hawa kawawii kuanza its getting cold up here in the couch....I can move to ur room....I ...I...wont do anything .....wala asije huyoooo
Pole sana! Lakini hayo ni matatizo ya kuishi "uswahilini," soln hapo ni kuhama au nunua "gojogojo" utoe advertize ya kumwaga mtu utumbo.......hilo gari lilikuwa halina alarm?
Holla at ya boy, if ya need some advise....NN, i know you will take care of everything ma hommie.
Njoja ntoke mie , manake naona NN kashaamka, patakua hapatoshi humu!
Pole sana ndugu yangu.
It's time to look for solutions and not the problem. Hao wahuni watakuwepo popote hadi bongo sasa hivi kuna kiboko msheli. Just go step by step, start with the popos, then your insurance company and do not forget the lock.
I am not sure about the cameras outside cause same states is illegal.
Holla at ya boy, if ya need some advise....NN, i know you will take care of everything ma hommie.
Unacheza wewe na upo naive kichizi yaani, kama unaishi kwenye radius ya mwendo wa 45min to 1hr nje ya big city basi technically haupo safe kihivyo hata kama neighborhood au ka-city ni rich and quiet! Mie nilikuwa naishi kama 30 min nje ya city, kuna siku nikakuta wamevunja kioo cha dirisha cha ki-gari changu na kuiba charger ya simu (valued at $60)....nilihama wk hiyo hiyo! Soln ni kuishi ktkkt ya mji kwani wachovu wengi hawawezi ku-afford na polisi wanazungukazunguka muda wote!! Hama upesi toka huko uswahilini....

Oh yeah...I was about to run you out and kick yo azz....