I am scared!!

Hiyo ndiyo advantage wanaume wanayotumia once wakiona mwanamke anamatatizo...i will pass hata ilo kochi!..

Mitego shem hiyo.....hawa kawawii kuanza its getting cold up here in the couch....I can move to ur room....I ...I...wont do anything .....wala asije huyoooo
 
Mitego shem hiyo.....hawa kawawii kuanza its getting cold up here in the couch....I can move to ur room....I ...I...wont do anything .....wala asije huyoooo

hahahaha! i know janja ya nyani shem!.....kwanza why him wakati cupcake yupo eeh!....Nitakuwa nalala na silaha kuanzia sasa hivi.
 
Pole sana! Lakini hayo ni matatizo ya kuishi "uswahilini," soln hapo ni kuhama au nunua "gojogojo" utoe advertize ya kumwaga mtu utumbo.......hilo gari lilikuwa halina alarm?

hahahaa nani kakwambia ninapoishi mimi ni uswahilini?..unacheza!si hao waswahili wako wameanza kuhamia huku wanakaa nyumba moja watu 10....no sikuwa na alarm actual kwenye gari...si niliamini kuwa hakuna wezi huku mwenzio..i had alarm nilivyokuwa naishi kwenye city maana huko weeh si kisenge.....
 
Ningekuwa najua how kuweka picha ningepiga picha niwawekee muone what i am talking about!...
 
Pole sana ndugu yangu.

It's time to look for solutions and not the problem. Hao wahuni watakuwepo popote hadi bongo sasa hivi kuna kiboko msheli. Just go step by step, start with the popos, then your insurance company and do not forget the lock.
I am not sure about the cameras outside cause same states is illegal.

Holla at ya boy, if ya need some advise....NN, i know you will take care of everything ma hommie.
 
Thanks YE!....Nimeambiwa kuwa kuna camera so may be police watajua kama kweli zipo camera....
 
Unacheza wewe na upo naive kichizi yaani, kama unaishi kwenye radius ya mwendo wa 45min to 1hr nje ya big city basi technically haupo safe kihivyo hata kama neighborhood au ka-city ni rich and quiet! Mie nilikuwa naishi kama 30 min nje ya city, kuna siku nikakuta wamevunja kioo cha dirisha cha ki-gari changu na kuiba charger ya simu (valued at $60)....nilihama wk hiyo hiyo! Soln ni kuishi ktkkt ya mji kwani wachovu wengi hawawezi ku-afford na polisi wanazungukazunguka muda wote!! Hama upesi toka huko uswahilini....

Hebu acha ushamba wako wewe. Uhalifu unaweza ukatokea sehemu yeyote ile iwe kijijini, mjini, kwenye viunga vya mji, na kwingineko. Hakuna sehemu isiyokuwa na uhalifu.
 
Unacheza wewe na upo naive kichizi yaani, kama unaishi kwenye radius ya mwendo wa 45min to 1hr nje ya big city basi technically haupo safe kihivyo hata kama neighborhood au ka-city ni rich and quiet! Mie nilikuwa naishi kama 30 min nje ya city, kuna siku nikakuta wamevunja kioo cha dirisha cha ki-gari changu na kuiba charger ya simu (valued at $60)....nilihama wk hiyo hiyo! Soln ni kuishi ktkkt ya mji kwani wachovu wengi hawawezi ku-afford na polisi wanazungukazunguka muda wote!! Hama upesi toka huko uswahilini....

Tatizo la city yetu sisi aisee ticket kila siku sasa utaishia kulipia ticket hadi lini?....na parking siku hizi zimepanda bei so kupata parking za bure kwenye city ni mimba ndiyo maana watu wengi sasa wanakuja uzunguni kwetu huku na vibaka sasa wamekuwa wengi....Yeah nipo 45 min away from the city!...
 
Nitamhamisha Cupcake wangu kwenye gated community....I can't let this happen again
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom