Siri moja ambayo wantanzania wengi hatujaijua - hasa watanzania wasomi, ni kwamba kazi nyingi sana zinaonekana hazina maana, au kazi ambazo zinafanywa na kundi fulani hivi la watu ambalo ni duni.
Ukweli ni kwamba, hizi kazi zimekuwa duni na kuonekana hazina maana kwa sababu wasomi tumezikimbia na zinafanywa na watu wasio na elimu - na ndio maana zinaonekana duni.
Hivi ni msomi gani anafanya biashara ya mitumba? Ni wasomi wangapi wana maduka kariakoo?
Pindi tulipomaliza chuo, marafiki zangu wawili hao waliweka bayana kabisa kwamba hawana mpango na ajira - wao walisoma BCom. Wakaenda kariakoo na mtaji wa 10m, wakatafuta frame wakawa wanauza Tiles na vitu vidogo vidogo vya ujenzi.
Kwa sababu ya uwezo wao kielimu, walicomputerize mambo yao, and I was behind it as IT consultant. But I am telling you - it's only 1.5 years and their capital is over 90Mil. Hawa jamaa wanawazidi wenzao kwa sababu ya elimu - wana uwezo mkubwa wa kufanya internatinal business. So wana export Tiles kwenda land-locked contries kama Zambia, Rwanda, Msumbiji n.k.
Hivi ni wangapi wanajua kuwa wasomi is a fourth class hapa bongo - yaani tumepitwa na wafanyabiashara, wanasiasa na hata wasanii.
Wasomi wengi sisi tunafanya kazi kwenye ofisi nzuri, lakini mifukoni mwetu hali sio nzuri.
Wasio na elimu wanafanya kazi kwenye mazingira duni, lakini mifukoni mwao sio duni kama sisi.
Ukifuatilia wasomi wengi matajiri, basi unagundua kuwa kuna ufisadi nyuma ya mafanikio yao.
Elimu yetu ipo wapi?
samahani naombeni kuuliza hivi kazi ya HR unaweza kujiajiri kweli????
Asante sana kwa kuniamsha. Nasubiri huo mchanganuo ili nielimike zaidi. Thanks Ramthods. Thanks JF!Pole sana dada Carmel.
Kwa sasa, niseme kwa upande wangu sina jinsi ya kukusaidia kupata ajira - hata hivyo nina mawazo ambayo ningependa nikushirikishe pengine yanaweza kukusaidia leo, au hata baadae.
Utakubaliana na mimi kuwa wengi hapa tanzania unaoweza kuwaita "intellectuals", watu ambo ni degree holders kuendelea mbele, wakimaliza chuo hao wanachofikiria ni kuajiriwa na kukaa kwenye office za watu - that's it. This's is really a bad mindset!
Kama challenge kwako, kule Iringa kuna sehemu wanalima viazi. Kukodisha shamba, kuliandaa, kutafuta mbegu, na gharama nyingine zote mpaka kuvuna itakugharimu 500K hadi 600K kwa heka moja.
Hekari moja yenye udongo mzuri, na kama ulifuata masharti vizuri - inatoa magunia ya viazi 80 - 70 wastani - ukikosa sana utapata 50.
Bei ya gunia moja shambani ni Tsh 50,000. Uzuri ni kwamba Viazi havina msimu, hupandwa na kuvunwa mwaka mzima mara 4. Yaani ukipanda utavuna baada ya Miezi mitatu.
Unaweza kuona kuwa heka moja inakuwa na return ya 50,000 x 80 = 4,000,000 ndani ya miezi mitatu. Kama mil 4 ni ndogo, ongeza mtaji kama 1M hivi, na utapata return ya 6M - 8M ndani ya miezi 3.
Now nikuulize swali - Ni rafiki zako wangapi walioajiriwa wanapata kiasi hichi cha pesa in 3 months?
Mimi nataka nianze kulima msimu unaoanzia January. Kwa sasa nimechelewa nimekosa mashamba watu wameshawahi.
Dada yangu, mimi pia nilimaliza University of Dar es salaam, so ni degree holder kama "intellectuals" wengine. Tofauti ni kwamba, napenda zaidi intellectuals tuingie kwenye soko la kujiajiri.
Kumbuka kuwa "Watu wote wanaweza kuajiriwa, lakini sio wote wanaweza kupata mafanikio ya maana kwa kuajiriwa"
Kwa sasa najua utakuwa huna mtaji, au una pesa kidogo sana umeihifadhi. Nakushauri, mara utakapopata kazi nzuri, save hela kiasi then jaribu kufanya investment kama hizi - na mambo yako yatabadilika kwa muda mfupi.
Na pia, unaweza kufanya mambo yote sambamba - yaani una invest huku unaendelea na ajira yako kama kawaida - hii inawezekana.
Naomba niishie hapa. Nikipata muda, ntaandika huu mchanganuo mzima hapa JF ili wana JF wote wenye tatizo la kiuchumi iwe kama ni njia ya kujikwamua.
Nakutakia kila laheri.
Mi nimesomea uhandisi lakini kazi nayoifanya wala haina uhusiano wowote na uhandisi................
.
Na mimi nataka kazi ya kuwachekesha humumu JF hata kama mkinipa 300,000/=tsh sio
mbaya
Moderators naombama jibu tafadhali
Nakubaliana na mawazo ya biashara. na pia mimi mwenyewe nina mifano mingi sana, hapo kariakoo watu ni std seven but they talk in terms of dollars. jamaa wana pesa sio mchezo, i have seen it.
Lakini pia tuwe realistic, we are talking about someone can not raise even 5m for a starting capital thats why the only option that remains for the moment is employment to be able to get mitaji. we all have dreams and getting to fulfil them in a country like this where you are paid laki tatu hadi tano na hapo haijakatwa kodi. its real difficulty men.
unajua mie ndo maana nikauliza kazi za HR unawez akujiajiri ???
Na mimi nataka kazi ya kuwachekesha humumu JF hata kama mkinipa 300,000/=tsh sio
mbaya
Moderators naombama jibu tafadhali
Firstlady,
Jibu ni ndio. Ukiwa ni qualified HR unaweza kabisa ukajiajiri. Kwa kuwa muda wangu ni mdogo sitakwenda kwa undani kueleza how lakini mimi nilisoma HR na nina ka ofisi ambako kwa kweli nashukuru Mungu kananilipa.
Tiba
Nakubaliana na mawazo ya biashara. na pia mimi mwenyewe nina mifano mingi sana, hapo kariakoo watu ni std seven but they talk in terms of dollars. jamaa wana pesa sio mchezo, i have seen it.
Lakini pia tuwe realistic, we are talking about someone can not raise even 5m for a starting capital thats why the only option that remains for the moment is employment to be able to get mitaji. we all have dreams and getting to fulfil them in a country like this where you are paid laki tatu hadi tano na hapo haijakatwa kodi. its real difficulty men.
Kadhalika, alisema mtu anapaswa kuwa na wazo la biashara kabla ya kutafuta mtaji kwa kuwa kupata mtaji kabla ya kuwa na wazo la biashara anaweza kula mtaji.
``Ukienda mtaani ukawauliza vijana kwanini hamuanzishi biashara watakwambia hatuna mtaji, lakini kama huna wazo la biashara hata ukipata mtaji utakula,`` alisema.
kaka naomba uweke picha nzuri jamani kama ya samaki baharini, panya sisimizi..ndege hata picha yako hii nyingine mie nimeota usiku inaogopesha
Firstlady,
Jibu ni ndio. Ukiwa ni qualified HR unaweza kabisa ukajiajiri. Kwa kuwa muda wangu ni mdogo sitakwenda kwa undani kueleza how lakini mimi nilisoma HR na nina ka ofisi ambako kwa kweli nashukuru Mungu kananilipa.
Tiba
well done thanks
nakupenda!! Lakini usijali...hivi kwani hiyo picha yako ni ya kwako?
vipi BabaJOOOOiiiiii