Huyu Teddy Kalonga kanichosha kabisa.. sina hamu mie.....

Status
Not open for further replies.

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Teddy Kalonga.jpg

TeddyKalonga
Monday, June 30, 2008
TK
Pichani : Ni mimi (samahanini kama nimewatia kinyaa)


Najua wengi wenu mmenihukumu vibaya sana kutokana na mambo yaliotokea last week. Kwa kweli hamkufanya haki kwa vile 'you dont hear my side of the side of the story. Samahanini kama nitakuwa nakosea drama hapa na pale. bado nipo kwenye english course jamani,kwani nyie mlizaliwa mnajua kiingereza?

Mimi naitwa Teddy Kalonga, kisuper star ama kimodel unaweeza kuniita TK. basi mimi ni bonge la star huko bongo, haswa pale channel 10.

Natokea kwenye familia ya watoto 15, mimi nikawa wa kumi na mbili, so u can see nakaribia kuwa kababy flani hivi. Ofcourse mzee hakuwa na uwezo na mimi tokea nipo mdogo nilikuwa namshangaa baba yangu kwanini anapenda kuzaa zaa hovyo, sema si unajua wazee wa zamani kazi kucheza bao na kushoboa mama zetu. Kwanza tulikuwa tunaishi kule Kigoma na wazazi baadae tukapata upgrade tukamia Dar pale Sinza. Kwa kweli life was hard sema daddy alijitahidi.

Mimi toka niko mdogo nilishajiona kuwa ni mzuri sana na nilijua haya maisha ya Manzese Mungu hajaniandikia, nilivyomaliza darasa la saba pale Manzese primary moja kwa moja nikajitosha kwenye project ya 'make money or die trying' hii nimepatia bwana.

Basi katika harakati za hapa na pale nikakutana na mzungu mmoja very nice, kwa kweli sijali yule shetani alisema nini i was truly in love with this man, na wala hakuwa babu mzee, mzee angeweza kunito.... vile? ukome wewe mwanamke mchonganishaji, ndio maana nimekutoa cartoon kwenye blog yangu, matiti ka nini sijui, bora nikae sina matiti kuliko kuspend dola 7,000 kutengeza matiti na yangu si bora nimtumie mdogo wangu hizo pesa aje huku, unafiki mie napenda mdogo wangu anavyofi... huko irish pub na garden bistro kama wale wambea walivyosema?

Sipendi sema maisha magumu, sasa akija huku atalala wapi? mimi mwenyewe na mume wangu tumerent chumba kimoja sema kina choo kizuri tu kama mnavyoona hapo juu.

Haya niendelee na story, basi yule mzungu alikuwa 68 yrs old. Eti ndo mzee huyo, mtu hata viagra alikuwa hanywi na ananitusua vizuri tuu. Basi kusema kweli yule mzungu ndio kanifikisha hapa nilipo, kwa kipindi cha miezi 6 alinitoa Manzese na kunipangishia nyumba Sinza...eeh nilimchanganya vizuri sana mzungu... baada ya kutua Sinza kwa kweli nilienda kanisani na kusali kwa vile sikutegema ningeona hii siku. Mwenzangu kuna tofauti kubwana Manzese na Sinza basi nikaanza kujitengeneza na kuwa mrembo, la hasha Mungu akaniona na nikapata kazi jack pot bingo, yaani ghafla nikawa bonge la celebrity jamani, nikawa kwenye tv kila wiki na magauni tukawa tunashonewa pale Kariakoo, sema yalikuwa sio mabaya sana, duh jackpot bingo imenitoa, hata kama mkisema nilikuwa nakatika kama changu sijali, nilikuwa napendeza eeh, kwanza mwanamke nyonga, acheni wivu.

La haula lakwata, nikapata kazi pale eatv, wakati huo yule baby wangu mzungu keshaninunulia escudo. Mzungu nilimchuna yule ku...... sema sasa nikawa naona noma kutoka nae, si unajua tena wabongo washamba, wakawa wanamuita babu, sasa nikawa naona aibu wasichana age yangu wako na watu age zao. Basi anyway, nikasema huyu baba keshanifikisha mbali sana sina hana haja nae tena, alafu pesa zenyewe alikuwa nazo za msimu.

Hapa ni pale nikawa bonge la superstar bongo, mademu wote wanatamani kuwa mimi na wanaume wote wananitaka. Basi nikawa na pozi kishenzi. Ghafla been vup nikakutana na moody mass , yes yule wa mass traders, na yeye kipindi hiko yupo superstar, kwa kweli nilimpenda sana huyu kaka kwavile his dick was great, utanitaka kwa kithungu. yani it was big and nice. i gave him everything, sema after ----ing me for a few months akaniacha, nani nilichoambua li pesa ndogo ndogo tu za hapa na pale nilizokuwa nawapa wazazi nyumbani.

Jamani msinisema ilininidi niwe malaya wa pesa kwasababu ya hali mbaya ya nyumbani.sasa mimi ningefanyaje jamani.

Anways to cut the story short, nilitiwa na watu wengi sana bongo, wanaume wote waume za watu unaoweza kuwafikiria wewe. Haikuwa raha yangu, na sikupenda kufanya nao mapenzi nilikuwa nafunga macho muda wangu wote huku wananifilimba. Pia nilitembea na viwanamuziki vilivyokuwaga vinakujaga pale EATV kuniomba nipige video zao. Si unajua tena nilikuwa namiss mapenzi ya vijana.

Kumbe mungu alikuwa ana bonge ya plan for my life. Nikakutana na mume wangu Cody, pale maeneo ya Las Vegas, usiniulize nilikuwa nafanya nini pale acha umbea. Kwa kweli Cody alinipenda hata baada ya kufanya mapenzi na mimi nakukuta nimeshachezewa kwenye mashimo yangu yote mawili ya mbele na nyuma. Mimi ndo maana nawafagalia wazungu, anakupenda kama ulivyo sio wabongo akisikia umetiwa tu na mtu mmoja basi inakuwa kasheshe. Hasa akijua umeshatusuliwa huko nyuma ndio kabisaaaaa.

Basi ni mimi nilimlove back manake Cody ni Mmarekani na niliona maisha ya bongo hayana dili tena kwa vile nilisikia nikifika Marekani naweza nikawa kama Halle Berry. Basi tukaanza process za visa, walinisumbua sana kupata visa eti kwa vile sina elimu, hata cheti cha english course sina wakasema nitakuwa mzigo eti nitakuwa nataka pesa za Serikali za kuishi, hivi hawajui mie ni bonge ya celebrity huku bongo ------- kweli hawa.

Basi mume wangu akaona miyeyusho akaamua kurudi Marekani tungoje visa. Basi wakati tunangoja visa mimi nipo Dar fiancee wangu Cody Height yupo Marekani huku nyuma mimi nikaanza kuto.... na baba flani mume wa mtu si unajua tena shida jamani, pesa zenyewe Cody alikuwa hanitumii. Sasa ningeishije. Hapendwi mtu pesa tu hapa. Naona wote mnamjua huyo baba nilit... nae na wote mnajua mambo aliyonifanyia kinyume na maumbile, sema sikuumia sana manake nilikuwa nimeshazoea.

To cut the story short sasa hivi naishi Marekani, Hollywood, mtajiju....

Nafanya kazi pale taco bell. Chekeni tu wajinga wakubwa. Pale taco bell mastaa kibao wanapitaga ntapata tu mtu wa kuni introduce kwa mtu.

But muda mwingine huwanajifikiria hivi kweli nimeondoka bongo nimeacha kazi yangu nzuri ya usuper star, sasa hivi nipo hapa taco bell napika tacos. Naishia kujiminya matiti kama hapo kwenye profile pic yangu nawaonyesha wateja angalau wanipe dili ya movie za ngono.

God bless me jamani!!!

Niombeeni watanzania wenzangu
 
Mimi nimeona picha na hiyo habari...imenishitua ndo maana nimeweka hapa tujadili sasa mnaolalamika mnabisha kitu kilichopo? Soma link hii

TeddyKalonga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom