Huyu si tapeli kweli ?

adriz

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
10,952
23,100
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.
IMG_20231008_121944.jpg
 
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.View attachment 2775292
Tapeli, washawahi nitumia we bluetick kama nilivyofanya, hawakusumbui tena.
 
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.View attachment 2775292
Sifa ya kwanza ya kazi huwa lazima u-apply ndo wakutumie info's.
 
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.View attachment 2775292
Mbona iko wazi mkuu, huwezi kuombwa kufanya kazi bali kazi huombwa
 
Sijawatukana nimemQuote No huku na nikijaza emoji za kucheka kama page 1 hivi.
Hawa watu wakati mwingine wanaweza kupiga hata simu. Ukipigiwa simu na kama unahisi ni tapeli yuko Bongo wewe pokea halafu useme kwa sauti ya kujiamini na yenye mamlaka ''Kituo cha polisi cha kati, kitengo cha cyber crime, nikusaidie namna gani''! Nakupia anakata simu haraka sana. Kama amepiga kutoka nje wewe sema kwa kujiamini ''INTERPOL office, Cyber crime and Fraud department, how can I help you''
 
Ukiendelea kumchatisha atakwambia utume hata laki ya kukuunganisha kwenye hiyo job, yeye hana ndugu mpaka akutafute wewe asiyekufahamu? Shituka ndugu utaliwa kichwa.
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.View attachment 2775292

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kuficha na namba ya sponsor wako kabsa ili tusikuibie mchongo au sio
Habari za mchana wa Jf..

Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli.

Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli ili tusije kuingia mkenge kichwa kichwa wakati hatujui.View attachment 2775292
 
Hawa watu wakati mwingine wanaweza kupiga hata simu. Ukipigiwa simu na kama unahisi ni tapeli yuko Bongo wewe pokea halafu useme kwa sauti ya kujiamini na yenye mamlaka ''Kituo cha polisi cha kati, kitengo cha cyber crime, nikusaidie namna gani''! Nakupia anakata simu haraka sana. Kama amepiga kutoka nje wewe sema kwa kujiamini ''INTERPOL office, Cyber crime and Fraud department, how can I help you''
Hii mbinu wacha niichukue.
 
Back
Top Bottom