Tunajuaje kama yeye sio Bosi na aliyesimama ndo Secretary au messenger?Kwanza omba mods wamhamishie kule kwenye picha alafu mwambie ashushe miguu chini haraka!Anakaa kama yeye ndo bosi?
Njoo chumbani babe!
hilo ndio tatizo la kuwa na mahusiano uya kimwili na masekretari, wanakuwa wao ndio ma boss.
Sasa huyo bosi achukue hatua gani?
MIS U MIS U..nambie...
Sasa huyo bosi achukue hatua gani?