Huyu secretari vipi?

Kuna kithibitisho gani kama huyo nisecretary?? Msitudhalilishe bwana aahhh huo uonevu!!
 
Mpotezee ata acha...........anajua anachokifanya,just ignore her.....shida yako unaenda unalegea kabisa pale.....kama anakunyima usingizi mwambie,akikupiga chini mwambie ulikuwa unamtania hukumaanisha na mwambie kuwa ofisini wanalalamika na clients pia kwa namna anavyovaa,aache au kibarua ndo kiwe kimeota nyasi.....na ujanja wako wote,huna lolote.................lol:smile-big:

Hili neno, Thanks! :love:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom