Huyu ni power nani?

Hahahah!!
Hilo "dubwashana" halijanyanyuliwa na huyo jamaa hapo chini mwenye kutoa mashuzi ya bureee.
Sehemu ya mbele na ya nyuma ambayo hii picha imeshindwa kutuonesha kuna mihimili ambayo ni mithili ya winchi ndio imelinyanyua hilo "dubwashana"

caterpillar-tl1055.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom