Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
Wadau naomba mnisaidie. Hivi huyu pichani ni Balali?
Je, imekuwa 'photoshoped' au jamaa kweli ni mzima? Pia kuna picha nyingine ilikuwa 'inamuonyesha' akifanya shopping katika supermarket huko aliko...