Huyu ndiye Mchungaji Illovo,,,nipeni neno la baraka nizidi Kumtangaza Yesu Kristo

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Jamani ninahtj maombi yenu ili nizidi kuinua na kujenga misingi ya vizazi vingi ktk KRISTO.
1472951953606.jpg
 
Attachments

  • 1472952150358.jpg
    1472952150358.jpg
    21.3 KB · Views: 96
.... naona kwa hizo hati hapo juu uko ki-dotcom zaidi, Makundi mengine usiyasahau lakini mtumishi.
Swali la ki-mwendokasi (Swali la kizushi) : huo urembo urembo kwenye picha umetengeneza mwenyewe ama umetengenezewa? Maana na mimi natamani kujifunza niwe na picha nzuri kama Hiyo yako. Asenti!!

Hiyo MBNA unaweka ww mwenyewe tuuu,,,ni technolojia tu. Unaweza.
Mungu akubariki lakin hujanipa neno!!!!!!!
 
Back
Top Bottom