Huyu ndiye John Mashaka...

YoYo,NN,MwanaFalsafa1,na Blantanda wekeni picha zenu hapa na nyie tu wajadili kidogo,maana naona nyie ni mahodari sana wakuwachambua watu.
Huyo apo NN
1453453138682.jpg
 
Nyani ngabu una mambo ya kike..sasa mashaka amekufanyaje? yaani watanzania ni wapuuzi umeona mashaka kuishi marekani kama wewe ni nongwa..mashaka ni jembe sana
 
Tanzania,

..lakini so far Tanzania tumekuwa na balaa la kuongozwa na watu wasio na uwezo.

..tena wakati mwingine inatokea kabisa wanapambanishwa mwenye uwezo vs asiye na uwezo na cha kushangaza anashinda asiye na uwezo.

..sijui ni kitu gani kitatuokoa lakini huu mfumo wetu wa upigaji kura na uchaguzi hautusaidii kabisa.
ww umejuaje kama wana uwezo ?
 
John Mashaka ni nani wakuuu .?
Wengine tulikuwa below 18 wakati hii mada inaletwa
 
Back
Top Bottom