Huyu ndiye anayempa homa Jackline Wolper

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,392
Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii. Ndo ujue sasa jinsi ya Ku ji behave na kuficha uchafu wako mbele ya Jamii, we jiulize huyo team ukweli anapata wapi habari zako? Jipange upya aiseeh.

Huyu Dada amekuwa mwiba Mkali kwa mastaa wa apa bongo na wote wanaojiita watoto wa mujuni, ni homa ya jiji, watu wanahaha kumfahamu na kujua anapata wapi habari za ndani na za siri kuhusu hawa mastaa wa kibongo?, hakuna anayejua, kila mtu anashangaa na kujiuliza, magazeti na blogs mbali mbali zimekuwa zikimzungumzia yeye. Japokuwa wengi wamekuwa wakimponda na kumuita mzushi na muongo, siku hadi siku followers wanazidi kumiminika kwa ajili ya kupata uji wa moto kuhusu mastaa mbalimbali apa bongo.

Ivi karibuni amefichua siri chafu za mwanadada jackline wolper ikiwemo ile ya usagaji pamoja na ya kukutwa akijiuza uko Nairobi na jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la mwami. Kitendo hicho kimemchanganya sana wolper na kumkosesha amani kwa kufuatiliwa na huyo anayejiita team ukweli na uwazi na kutoa siri zake za ndani.

Hiki ndicho alichokiandika kwenye mtandao wa instagram.
 
Hiki ndicho alicho kipost wolper kwenye mtandao wa instagram
 
Attachments

  • 1396200889608.jpg
    1396200889608.jpg
    65.7 KB · Views: 6,349
super stars....? only in Bongo. Hata Jay Z ukimwuliza atakwambia mimi si super star. bongo sasa....machangu wote ni ma-super star
 
Aisee huyo Teamukweli na uwazi kama una picha yake niwekee huyo teamukweli ana mamboooo yolooooooo
 
Ha ha kaweka picha kainama wowowo tu afu jana nlimfollow nililala saa7 usiku kusoma umbea wote.
Ila wolper kusagana si mpya mpya hiyo ya kujiuza kwa mwamk na mama ubaya nae alienda kwa mwami akaliwa...he he uwoya alikataliwa na mwami kuwapi "patcho mwamba a.k.a tajiri"
 
Duh! amu haujambo
 
Last edited by a moderator:

hadi unajiuliza mahabari yote unayapata wapi. kusagana wolper mie nimeanza kusikia kitambo
na kuna mtoto mmoja wa IFM alikuwa anamchunchuda...halafu hapo kwenye kuwapi sijui ndio typing\error
nadhan ulimaanisha kuwadi
 
Shoga hizi simu za kupangusa cha moto tunakiona ila bado tunakomaa nazo.
Yaani hot hot mahabari yake
 
Aisee huyo Teamukweli na uwazi kama una picha yake niwekee huyo teamukweli ana mamboooo yolooooooo

Huyo binamu soon atajulikana, maana kuna kundi la watu linamsaka mno, mafundi wa mambo ya IT wakifanya yao watamjua. ila wanaipata fresh maana yule anadili na watu mbali mbali sio mwenzake yule matilda kiboko yao kila siku yeye wema na penny au diamond. Team ukweli mda wowote anaibuka na habar mpya kutoka kwa watu wapya, salute sana binamu yangu TEAM ukweli na uwazi warumi
 
Au ni wewe hahahhhha
 
Last edited by a moderator:
hadi unajiuliza mahabari yote unayapata wapi. kusagana wolper mie nimeanza kusikia kitambo
na kuna mtoto mmoja wa IFM alikuwa anamchunchuda...halafu hapo kwenye kuwapi sijui ndio typing\error
nadhan ulimaanisha kuwadi

Naomba kuuliza Wolper ni kabila gani!
 
Back
Top Bottom