Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

1476680730133.png
1476680744687.png
hapa tatzo ni camera ya simu maana alivyopigwa na simu yake tunda katoka vizur sana ila alivyopigwa na camera ya lemutuz katoka vibaya kama anamaraliaa

kupatwa kwa camera ya le mutuz
 
Hiyo picha ya le kakaz na tunda utadhani kuku kakumbatia kifaranga anakikinga kuliwa na mwewe
 
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni

View attachment 412837
View attachment 412838
tunda kimaro mrembo wa kirombo, shimboni shake
 
Hivi huyu nae vidio queen?? Kwa nyimbo zp??Yani huyu zake ni kubadili masela na kufakamia misosi km nguruwe pori hakana kazi zaidi ya kuselfie chooni!!!í ½í¸‚í ½í¸‚í ½í¸‚
 
JINA halisi la tunda yule demu wake young dee ni nani maana wengi hawamjui hata kidogo.
naomba jina lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom