Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Utakalia kusifu madem zetu tu sisi ndo tunawajua uzuri wao na ubaya wao endelea kusifia balanced diet tu tutakushirikisha pia utushikie mapaja pia wakati tunaweka bolo young
 
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni

View attachment 412837
View attachment 412838
Acha ubwege ww..!! Una uhakika gani kma yeye hauzi mwili..!!!
 
FB_20161208_09_51_32_Saved_Picture.jpg
 
S
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni

View attachment 412837
View attachment 412838
Sasa mbona picha hiyo kapigia chooni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom