Huyu ndio rais anayetufaa

Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.

Kaka huyu si walisema sio mtanzania? au baada ya uchaguzi karejea tena kuwa mtanzania?
 
Best, wanaoli sema hivyo na nawanao pinga the 3Drz..niliowasema ndio wanaonufaikaa na mateso haya tunayopata sie tuanaolitakia mema taifa letu. huyu ni mtanzania na inatambulika hivyo...lkn kwa siasa baadhi ya wanaojiita ndio wenyeuchungu wengine wakisingizia ujana ndio uongoziii ndio wanaozusha hayo ili watunyonyee..2015 kitaeleweka tuu jamii wameshawastukia
 
He is...MAN! A man of reasoning in every day n day of his life. He knows exactly how this country grew-up,where it is now and where should it go...may u please go through his statements N actions u ll discover what am I insisting about. Let us put politics a-side men if we real want changes in our Nation...Otherwise we ll keep on crying every day over in bringing these currently nice talkative politicians looking for wealth through popularity of theirs n their youth groups. I conclude, in reality with no personal interest the development in Tanzania needs only 3Drz,...Salim,Magufuli n Slaa as a top figure,note for existing top known ones politician. PERIOD

Mnataka kuua tena upinzani kwakumshawishi Dr. Slaa nyie msiyo na aibu ili kulinda maslahi yenu. Is either Slaa or Salimu lakini hakuna blending naona CCM na usalama wao wanaandaa confusion nyingine kuwapumbaza wadanganyika kuwa nyoka aweza kuwa malaika...

Nampenda salana na kumheshimu Dr. Salim lakini pia am not for an individual kwani kama system iko okay an individual can just be expeled any time anapotuletea usanii. Hakuna blending hapa kila mtu anywe kwenye birika lake!
 
Akiwa raisi tuu, basi ujue PLO na Hamas watahamishia makao makuu yao hapa Bongo! Kama Dunia ilimkataa kuwa katibu mkuu wa UNO, basi tusithubutu kumkubali sisi hapa nchini!!!! Hawapendi wayahudi, Na mtu yeyote ambaye hawapendi wayahudi kalaaniwa na mungu. Hivyo hata kama akiwa raisi , nchi italaaniwa vibaya sana sana na huenda hata ikaingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Tupende tusipende yeye ni mwarabu na alijionesha uarabu wake pale alipomleta arafat Tanznaia na kuwa buruza wananchi kumpigia mwarabu gwaride uwanja wa Taifa. Halafu alikuwa anapelka palestinia day mikoa ambayo ina waktristo wengi, ili wawatukane wayahudi hadhalani kinyume cha maandiko ya biblia. Niko tayari kumpigia marehemu kura yangu, kuliko kumpatia huyu huyu kura yangu.

Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinaitwa anti-semites duniani kwa sababu yake huyu huyu. Anti semite ni kundi la wachukia wayahudi duniani.
 
Nenda huk na propoganda zako..hizi propoganda ndio zinatuletea shida kwenye nchi yetu..tunaacha viongozi makini na kuchangua hao waimba maneno matupu kila siku...Eti dunia ilimkataa kuwa kiongozi wa UNO unaakili wewe??sorry nafikiri umeingia kwenye thread ambayo hauna uwezo wa nayo nenda kwenye thread zenu za ooh..leo kingwalanda,Lema sijui january kafanya nini....ooh je kamlima barua....sijui kakataa posho huku watanzania tunataabika..naona mmeanzisha na mashindano ya kiongozi kijana sijui wa nini..sijui nanai anakuja kwa kazi..kesho unasika fulani na fulani wachuana...huu ndio upuuziii ambaooo Salim na viongozi wenye maono kwa wananchi hawawezi kuendekezaa....ndio kweli upo tayari kupigia marehemu maana unajua akiingia Salim,Magufuli na Slaa kwenye top chair ..utakua marehemu maana hauwezi kujishughulisa bila usanii wa kuunda propaganda zako kila siku.
 
Kaka huyu si walisema sio mtanzania? au baada ya uchaguzi karejea tena kuwa mtanzania?

ktk kipindi cha uchaguzi hata wewe utaelezwa kuwa ni MCHINA, si uliona ya Bashehe? leo Bashehe ni Mtanzania kesho ni Msudani ndio Tz ilivyo
kwa hiyo Mh Salim leo ni MTZ ila uchaguzi ukifikia tu Utz utaisha
 
Nenda huk na propoganda zako..hizi propoganda ndio zinatuletea shida kwenye nchi yetu..tunaacha viongozi makini na kuchangua hao waimba maneno matupu kila siku...Eti dunia ilimkataa kuwa kiongozi wa UNO unaakili wewe??sorry nafikiri umeingia kwenye thread ambayo hauna uwezo wa nayo nenda kwenye thread zenu za ooh..leo kingwalanda,Lema sijui january kafanya nini....ooh je kamlima barua....sijui kakataa posho huku watanzania tunataabika..naona mmeanzisha na mashindano ya kiongozi kijana sijui wa nini..sijui nanai anakuja kwa kazi..kesho unasika fulani na fulani wachuana...huu ndio upuuziii ambaooo Salim na viongozi wenye maono kwa wananchi hawawezi kuendekezaa....ndio kweli upo tayari kupigia marehemu maana unajua akiingia Salim,Magufuli na Slaa kwenye top chair ..utakua marehemu maana hauwezi kujishughulisa bila usanii wa kuunda propaganda zako kila siku.

sawa kabisa watu wanaibuka na maneno kibaooooooooooo,then baadae wanaanza kulalamika ooooooooh bora angekuwa huyu ama yule,ni ujinga kabisa kufukuza kanga huku unacheka wakati nyumbani huna mboga
 
Akiwa raisi tuu, basi ujue PLO na Hamas watahamishia makao makuu yao hapa Bongo! Kama Dunia ilimkataa kuwa katibu mkuu wa UNO, basi tusithubutu kumkubali sisi hapa nchini!!!! Hawapendi wayahudi, Na mtu yeyote ambaye hawapendi wayahudi kalaaniwa na mungu. Hivyo hata kama akiwa raisi , nchi italaaniwa vibaya sana sana na huenda hata ikaingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Tupende tusipende yeye ni mwarabu na alijionesha uarabu wake pale alipomleta arafat Tanznaia na kuwa buruza wananchi kumpigia mwarabu gwaride uwanja wa Taifa. Halafu alikuwa anapelka palestinia day mikoa ambayo ina waktristo wengi, ili wawatukane wayahudi hadhalani kinyume cha maandiko ya biblia. Niko tayari kumpigia marehemu kura yangu, kuliko kumpatia huyu huyu kura yangu.

Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinaitwa anti-semites duniani kwa sababu yake huyu huyu. Anti semite ni kundi la wachukia wayahudi duniani.

Hii michango ya ajabuajabu msiwe mnaleta humu.Kama huna cha kuchangia vema kupitia michango ya wenzio tu inatosha.
 
Your greatthinker...!watu kama nyie ndio wakutafuta ikikalibia 2015..,ilitusiingizwe kwenye matope tena watu wa propoganada maslahi.
 
Ni muadilifu lakini yuko baridi kama Pinda alivyo na wakati huu wa mapambano makali ya ufisadi na mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia hafai hata kidogo kuwa Presidaa na pia umri umeshakwenda

Nani kakudandanya?baridi unawajua wewe...!chagua sasa hao moto uone wanavyokuwashia moto..hadi uone cha moto
 
Salim ni Diplomat mzuri,lakini Tanzania inahitaji mtu mkali na mwenye kuweza kuchukua maamuzi kwa sasa,mtu anayeweza kurudisha mali zilizoibiwa,mtu anayeweza kuvunja mikataba mibovu,Mtu anayeweza kusema no pale national interests zinapoingiliwa.Salim yuko CCM hataweza kuwachukulia hatua wezi walioko CCM.I think we should opt for Dr Slaa,anaweza kuchukua maamuzi yule mzee,hatakuwa na vikwazo vya kuchukua hatua
 
Tunahitaji system mpya ya utawala nchini mwetu, new generation should be the majority to drive the country to another level.
 
Tatizo chama

hata JK ni mzuri ila wenzake ndiyo wanamharibia utakumbuka siku anaongea na CDM alisema " mawazo yenu ni mazuri sana nikiyafanyia kazi wenzangu hawatanielewa " akaongeza " pale CC kuna watu walikataa kabisa nikutane na nyie niliwatalia '
 
Hii nchi haihitaji kiongozi SAFI tu bali pia MKALI asiwe mpole kupita mipaka watu hawaendi
 
Mnataka kuua tena upinzani kwakumshawishi Dr. Slaa nyie msiyo na aibu ili kulinda maslahi yenu. Is either Slaa or Salimu lakini hakuna blending naona CCM na usalama wao wanaandaa confusion nyingine kuwapumbaza wadanganyika kuwa nyoka aweza kuwa malaika...

Nampenda salana na kumheshimu Dr. Salim lakini pia am not for an individual kwani kama system iko okay an individual can just be expeled any time anapotuletea usanii. Hakuna blending hapa kila mtu anywe kwenye birika lake!

Asante sana, umedhihirisha ukweli...kumbe na wapinzani mnajua akisimama Dr.Salim ni kuua upinzani safi sana..lkn nikutoe hofu...pia upinzani mna Dr.Slaa wote wakisimama yeyote kati ya hao akipata ni Tanzania njema kwa wengi tuu ukiwemo wewe na mie usijali sana.Na kwa muono wangu atakayeshinda atashirikiana na aliyeshindwa na Dr.magufuli ambaye wengi wanachanga humu kuwa Tanzania inahitaja mtu mkali..so tunakua na mdiplomasia mmoja(Salim),mkalli mmoja(magufuli) na na mtu wa ukaguzi mzuri ktk nyanja zote(Slaa)
 
Back
Top Bottom