Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

Yan hata kwnye wanafunz wake alibeba kina petro ambae alijua atakuja kumsalit na eskaliot atakuja kumuuza..ila aliona bora asalitiwe/ auzwe na wanaume wenzake kuliko asalitiwe/kuuzwa na mwnamke Hapa nako kn Fumbo tuanzie hapa
Petro alimkana,Eskatiote alimsaliti
 
Kweli mnapata tabu sana, sio kwa gazeti hilo,
Na badooooo
Wanasaikolojia wanasema kama utaamua kumchukua Mwanamke na kuishi nae itakuchukua miaka 25 kumuelewa , kwa lugha rahisi utamuelewa Mwanamke mmeishazeeka sasa ya nini kujisumbua ? Wewe mpende tui li siku zako za kuishi hapa duniani ziwe nyingi , Sasa Wewe mchunguze ili siku zako za kuishi hapa duniani zipungue.
 
IMG_8273.jpg
 
Back
Top Bottom