Huyu Ndio JK Bana!!!!!

mpaka kipindi chake kiishe cha moto tutakiona au alipania akiingia madarakani lazima amalize nje zote duniani mana too much.
 
Mheshimiwa sana Didas Masaburi aliposema viongozi wa tanzania wanafikiri kwa kutumia ''MAKALIO'' alitumia tafsida tu ili asigombane zaidi na watu ila hiyo ndo hali alisi. Tuchague viongozi wanaotumia ''AKILI'' na si ''MAKALIO YAO'' naunga mkono hoja.
 
hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).

je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?

Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?

GHARAMA!
Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288.
Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
Tafakari mtanzania chukua hatua.

Safi sana, lakini pia tungeambiwa safari zote hizo zimekua na tija gani kwa taifa maskini kama Tz?
 
Muuza sura aka bishoo aka sharobaro aka kilaza aka zero brain aka hajui lolote la maana la kuisaidia nchi..hivi misheni yake b4 kuukwaa uprzdaaa ilikuwa ipi,
Kusafiri sana nje ya nchi yake kuliko marais wote waliomtangulia
 
kibaya nw tunatawaliwa bora liende yan! coz anajua kabisa kuwa amekwisha fail na kujiuzurii hawezii ni ishu nyingine ivyo tunapelekwa pelekwa tu ili mradi kipindi chake kimalizike. kwa ninavyomuona anatamani io 2015 iwe hata kesho yan mmh ili hajiondokee baada ya kutufanyia ndivyo sivyo ipasavyo.
Its true Great thinker,sasa hivi Tanzania inaenda yenyewe tu kama puto hewani,haina rais, maana kama uongozi wenyewe
ni huu wa JK hata mwanafunzi aliyemaliza Form iv tu anaweza kuongoza nchi.Jamani watanzania tuonyeshe kuchoshwa kwetu
na huyu jamaa tuungane na wanaharakati ambao wameanza!!!!
 
Kweli Tuu shamba la bibi a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, yote haya yanaendelea nabado tuna zidi kutia juhudi katika kukunjia mkia tumboni kwa kutishwa na ndugu zetu tunao endelea kuteseka nao 'Polisi'. Bila kijitambua bado tuna safari ndefu mno!
 
Hiyo ni safari ya mkuu wa kaya, hamjasema safari sa makamu wa rais, mtoto wa mkulima aka mkaidi wa amadactar, ambazo zote hazina tija, naamini wameitesa nchi yetu, nakutufanya tuishi maisha ya kubahatisha, ole wetu sijui tutaishi vipi ikiwa ujambazi unafanywa na tunaowaamini?
 
Safi sana, lakini pia tungeambiwa safari zote hizo zimekua na tija gani kwa taifa maskini kama Tz?

zilete tija gani?? ameenda kuuza sura tu so far kwa mtazamo wangu!
ww imagine Rais anazurura hadi hadi anakoso muda wa kusoma nyaraka tofauti tofauti zinazoletwa. ni mzandiki huyu mtu wala hana jema kwa nchi yetu ya Tanzania, amelifanya taifa shamba la bibi basi mmh.
 
Natamani magazeti ya Shigongo ya Uwazi na Ijumaa yangekuwa yana qoute mambo kama haya uliyo ya Dadavua ,kwani sasa gutter press kama za shigongo ndio zinazosomwa na wapiga kura wengi wa CCM na ndio waliomchagua muheshimiwa wetu Raisi Mtukufu Jakaya Mrisho Kikwete
Just imagine Front page ya Uwazi imewekwa picha ya kizushi mkulu wa nchi anashuka ktk Jet ya alafu pembeni kuna Title JK ktk ziara yake ya 322.
najua anayasoma haya magazeti,labda ujumbe ungemfikia na kuwa na imani na watanzania wenzake, kwani kwa rasilimali tulizonazo yeye haitaji kusafiri,wazungu wenyewe wanakuja na wachina
dah kweli kabisa tulioshtuka wachache halafu tumechelewa haswaa yan mmh! naionea huruma Tz na watz kwa hali ilivyo sasa nchini kwetu mmh.
 
hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).

je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?

Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?

GHARAMA!
Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288.
Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
Tafakari mtanzania chukua hatua.

Nimeipenda hii lakini ili inoge zaidi ongeza na projection mpaka hapo 2015, halafu jaribu kuongeza madai ya madaktari, je asingeenda safari ngapi madaktari wangelipwa madai yao?
 
yah, hawa watu wanagoma with logic yan! wanajua uwezo wa madai yao kutekelezwa hata nusu yake basi we cheki huyu mwenzetu Rais mtukufu anavyospend aisee mmh! inauma haswa. ni extra vagancy mmoja balaa.
 
hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).

je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?

Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?

GHARAMA!
Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288.
Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
Tafakari mtanzania chukua hatua.

Coincidence kwenye namba hizo nimependa

Wajawazito pia na watoto wao..............very sad.

Hiyo ni safari ya mkuu wa kaya, hamjasema safari sa makamu wa rais, mtoto wa mkulima aka mkaidi wa amadactar, ambazo zote hazina tija, naamini wameitesa nchi yetu, nakutufanya tuishi maisha ya kubahatisha, ole wetu sijui tutaishi vipi ikiwa ujambazi unafanywa na tunaowaamini?

hapo red yan mm sina iman nao kbs yan mmh! nawaona wabadhirifu tu.
 
Back
Top Bottom