Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Kuna demu kaniambia kuwa shostito wake amemuulizia kama ana namba ya mganga wa kienyeki ili "akamshughulikie" jamaa yake aliyemtenda juzi. Sijui anataka kummaliza au kumlainisha.
Siku hizi (may be na siku za nyuma) kumekuwa na kina dada hasa ameneo ya mofisini (pengine na kwingineko) wengi ambao inasemekana wanatumia ndumba kuwalainisha na kuwakamata wanaume.
Inasemwa kuwa wapo hata wanawake wanaoenda kwa waganga kutafuta dawa za kuwaloga waume zao!
Masekretari na wahudumu wa kike wengi siku hizi wanajihusisha kimapenzi na mabosi wao, na wengi wao inasemekana wanatumia ndumba kuwanasa na kuwafanya wawe wanatoa ela kirahisi
Tunaweza kulichukulia kirahisi hili suala lakini kiukweli lina madhara makubwa
Siku hizi imesababisha hata kuomba tundi kwa mtu mliyezoeana au mnafanya ofisi moja watu wanaogopa kufanyiziwa!!!