Huyu nae kaulizia namba ya mganga! Kina dada acheni mapenzi ya kishirikina...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kuna demu kaniambia kuwa shostito wake amemuulizia kama ana namba ya mganga wa kienyeki ili "akamshughulikie" jamaa yake aliyemtenda juzi. Sijui anataka kummaliza au kumlainisha.
Siku hizi (may be na siku za nyuma) kumekuwa na kina dada hasa ameneo ya mofisini (pengine na kwingineko) wengi ambao inasemekana wanatumia ndumba kuwalainisha na kuwakamata wanaume.
Inasemwa kuwa wapo hata wanawake wanaoenda kwa waganga kutafuta dawa za kuwaloga waume zao!
Masekretari na wahudumu wa kike wengi siku hizi wanajihusisha kimapenzi na mabosi wao, na wengi wao inasemekana wanatumia ndumba kuwanasa na kuwafanya wawe wanatoa ela kirahisi
Tunaweza kulichukulia kirahisi hili suala lakini kiukweli lina madhara makubwa
Siku hizi imesababisha hata kuomba tundi kwa mtu mliyezoeana au mnafanya ofisi moja watu wanaogopa kufanyiziwa!!!
 
Nikisema mimi naonekana nasema uongo haya na huyu!

Sasa kwani nabiiishaaaa!
Hii kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo, tubishe, tuhutubie na hata tukibeba mabango. Kwanza hakuna mtu atakayejitokeza na kusema anatumia; so to me naona ni wastage of time!

Unachopaswa ni kuomba usimpate mke mshirikina, full stop!
 
Kaunga nakubaliana na wewe,ila mimi hata nikipata mke mshirikina atakubali mziki tu!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwani nabiiishaaaa!
Hii kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo, tubishe, tuhutubie na hata tukibeba mabango. Kwanza hakuna mtu atakayejitokeza na kusema anatumia; so to me naona ni wastage of time!

Unachopaswa ni kuomba usimpate mke mshirikina, full stop!

Nawaza kuanzisha NGO ya kuelimisha uma kuachana na hii kitu...
 
Nawaza kuanzisha NGO ya kuelimisha uma kuachana na hii kitu...

Aisee itakilipa hiyo, u know why? Kazi yako hiyo ya awareness haitaisha so ni permanent employment tu! Ujanja itakuwa kutafuta donors tu! Coz the problem is there to stay!
 
Aisee itakilipa hiyo, u know why? Kazi yako hiyo ya awareness haitaisha so ni permanent employment tu! Ujanja itakuwa kutafuta donors tu! Coz the problem is there to stay!

Mi naamini litaisha bana...
 
mie siamini uchawi unafanya kazi,kama yupo mchawi humu aniloge nife....:shock:
 
wadada tupo desperate, mtu anahangaika hadi yale ambayo hayajui anataka kujaribu.
 
Tena naskia kuna mganga Chamanzi sijui? Yaani ukimpata huyo shurti uopoe mzungu hata kama wa tandika. Namtafuta walau pesa yangu fupi aniunganishie kwa wachina wa keko tukaishi kiwandani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom