pol*
kiukwel huyu baba nlianza nae maisha akiwa na pesa m.1 tukawa tunalala chn na kabiashara kadg sa hv ana magar2 nyumba ambavyo amevpata tukiwa pamoja na ofcourse anajal familia na me mwnyewe
kinachnifanya niombe ushauri ni umalaya wa kupindukia alionao mwez wa tan nlisafir kma wki moja kurud nkakuta kamnunulia dada mmoja kitanda na vtu vya ndan ikiwa ni njia ya kumtaka kimapnz bda ya kununua yule dada akamtosa kwan alikuwa na boifrnd mume wangu akamzisha ugomv kudai hvy vit kwa jins nlivyoelezwa
hakuna sket inayompita awe housgirl au rafki yang nimevumilia nimechoka sasa naona imetosha lakini kikubwa sina pa kuanzia naogopa kuwaeleza wazaz wangu kwan wataniambia nirud nyumban hata leo nafikiri maisha ya hawa watoto wake bada ya mimi kuwaacha kwan nimekuwa kma mama yao na msaada kwao.
mume haambiliki na wala hawezbadilika nshaongea nae sana imeshndikana
wana jf naombeni ushaur wa kina nahs kuchanganykiwa
nb!
Amwekee LIMBWATA ndio kiboko ya mambo........................LOLmtafutie dawa
wana dawa nasikia lol
Niliwahi kusema hapa, kuna wakati wanawake yawapasa kuchukua maamuzi magumu..................what comes around goes around.......................
anyway....
unaogopa kurudi kwenu au unaogopa kukosa pesa ya mumeo?????????????
ina maana huogopi kuletewa maradhi?
basi kama huogopi magonjwa na unaogopa kujitegemea... baki na huyo mume......unaweza kuendelea kusex nae au mkatengana vyumba.....
ila kama unajiamini, unajithamini na kujijali wewe na mtoto wako wa miaka 3.......
kapime ngoma,
fungasha vyako ondoka...........
miaka 24 ni mdogo sana bibie, una mengi ya kuishi, kujifunza na kuenjoy.....
tafuta mtaji (hata ukimchomolea huyo mume sawa tu...), beba gari moja sepa..... ila usisahau kushirikisha wazee wajue umeshindwa na umeondoka.....
kaanze biashara hukooooooo....
miaka 24????????????? unaogopa kuface maisha? whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy?
Niliwahi kusema hapa, kuna wakati wanawake yawapasa kuchukua maamuzi magumu..................
amkabidhi mungu kwani mungu ndie alimtuma aharibike tusitafune maneno atakufa halafu mwisho wa siku tutamalizia ni mipango ya mungu,si ndo kawaida yetu hata meli zikizama mdivyo tunavyosema.amwekee limbwata ndio kiboko ya mambo........................lol
:focus:
Kama una imani, namaanisha imani hasa, basi mkabidhi mungu, atatulia mwenyewe, fuata ushauri wa gfsonwin anao ushuhuda mzuri sana ambao unahitaji mtu kuwa na imani isiyotetereka.