Huyu kijana ni mzima kweli??

Nasema hiivi kumaanisha maana kama amekuja yuko sawa amefika kwako akaanza mashosho lazima na wewe nikuulize kulikoni ??alipotoka asiwe hivyo aje kupakia lotion na mengineyo kwako?
Hili nalo neno lol!
 
Kwanza hongera kuwa na apartment......maana siku hizi kuwa na nyumba bongo we kibopa
Pili naomba nikupe ushauri...kama si ndugu yako yanakuhusu nini.... Ingekuwa uswahilini tungesema wewe mswahili....Muache yeye ndo anajua mipangilio ya maisha yake ilimradi kodi yako kakupa.... NADHANI HAKUNA HAJA YA KULETA HOJA HII KWENYE JF.

Kweli si ndugu yangu, ila mazingira anayokuja nayo ni aibu kwa mimi ambaye nakaribisha wageni wa heshima na utamaduni tofauti, ni fedheha kwa famili yangu na wanaonizunguka, before kila mtu alikuwa anakaa kimya, sasa watu wanajadili na kujiuliza... any way, JF imenisaidia baada ya kupost, kuna watu wamenipa ushauri mzuri, I will make it... Pole kama wewe nimekukwaza... au nawe ndo walewale imekuuma?
 
Iddy amin akifaaaa mimi cweeezi kuliaaaa ntam2pa kageraaaa awe chakula cha mambaaa

Duuuh, inabidi tuorodheshe hizi nyimbo za mchaka mchaka , bore mfungue thread mpya ... heee
 
valfunny2.jpg
 
Duuuh, inabidi tuorodheshe hizi nyimbo za mchaka mchaka , bore mfungue thread mpya ... heee

izo ni commercial break.
MTIMUE.FULL STOP.
ATAKUHARIBIA CV.
kmm si leo kesho atatokea ukiwa na rafiki zako na ndg zako waheshima watashndwa KUKUTAMBUA VYEMA...kimbiza uyo
 
Si amepanga tu kwako ? na analipa kodi ? na ni mtu mzima ? Maisha yake binafsi hayakuhusu huo ndio 'uswahili' unaotuharibu jali maisha yako.

nini sasa maana ya ushauri?mbona watu wanatoa post na kuomba ushauri kuhusu maisha yao nawewe unashauri? Ni maisha yako? Kama ni hivyo ulivyosema hata Jf haina maana!! Think BIG mjomba!
 
Tengeneza urafiki wa kaka kwa kaka nayeye,utagundua tu nini kimembadilisha,ukishagundua unaweza mshauri na kama haelekei akimaliza mkataba wake mruhusu aende au mpe notice then umrudishie hela yake iliyobaki aende,usimnyanyase naye ni binadamu alopungukiwa na utukufu wa Mungu.:plane:
 
izo ni commercial break.
MTIMUE.FULL STOP.
ATAKUHARIBIA CV.
kmm si leo kesho atatokea ukiwa na rafiki zako na ndg zako waheshima watashndwa KUKUTAMBUA VYEMA...kimbiza uyo

haya bibie hujambo?,
kuna tembele la kuoka leo kwenye lunch,
sema, nikuwekee order?
 
Tengeneza urafiki wa kaka kwa kaka nayeye,utagundua tu nini kimembadilisha,ukishagundua unaweza mshauri na kama haelekei akimaliza mkataba wake mruhusu aende au mpe notice then umrudishie hela yake iliyobaki aende,usimnyanyase naye ni binadamu alopungukiwa na utukufu wa Mungu.:plane:

urafiki wa kaka kwa kaka ndo ukoje huo la aziz!!!!!
 
Mbona unataka kujitwishwa mizigo isiyokuhusu, mtu mzima na akili zake jamani unajitesa hivyo maana sio ndugu yako, wewe mwenyewe unatia wasiwasi unavyoonekana unammaindi si useme tu..
 
Mbona unataka kujitwishwa mizigo isiyokuhusu, mtu mzima na akili zake jamani unajitesa hivyo maana sio ndugu yako, wewe mwenyewe unatia wasiwasi unavyoonekana unammaindi si useme tu..

Ila madam T umefika mbali sana, any way ni mawazo yako tu.. ila JF ni uhuru wa kuandika, wenye ushauri nimeupokea, wenye porojo kama hii yako mi ni kucheka tu....

Asante Rose 1980 wewe uko juu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom