Huyu kijana ni mzima kweli??

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Ndugu, nina kijana amepanga kwenye apartment ya house yangu, kijana alikuwa ni mtu wa kawaida mwenye majukumu yake ya kiofisi mazuri tu. Ninachoshangazwa nae siku za hivi karibuni ameanza kubadilika kiaina fulani, kwanza ameanza kutumia lotion za kung'arisha ngozi, anatumia perfume za kike, mavazi akishatoka ofisini (suit na tie) anavaa mavazi tofauti na ya zamani, sasa ni jeans za kubana juu kuachia chini, hachomei tena bali ni kuachia vishart vibody, mwendo sasa unachange umekuwa wa kuyumba yumba, nywele ni mafuta ya carl, wanja wa kati ya macho, chakushangaza na sauti sasa anarembesha kuliko ya kwangu, hata mikao sasa inachange jamaniiiii.
Sasa kwa kuwa nimempokea na naishi naye kama mdogo wangu kutoka mikoa ya kaskazini,nashindwa kumwelewa, hivi ndo hayo mambo ya SHAROBARO au ndo kashaingia kwenye mtoto si rizki???

Mnanishauri vipi? nimuingie na kumuuliza juu ya mwenendo wake au?
 
Hahaaaa nakufa mie uwiii, ngoja nimalize kucheka kwanza then ntakuja najibu flani hivi.
 
Si amepanga tu kwako ? na analipa kodi ? na ni mtu mzima ? Maisha yake binafsi hayakuhusu huo ndio 'uswahili' unaotuharibu jali maisha yako.
 
Get a life and LEAVE HIM ALONE. Kwani ni ndugu yako? - kama anakubore si uhame hiyo apartment mkuu
 
Kwani hakulipi kodi ya nyumba,na kama anakulipa,we shida yako ni nini hasa?huyo jamaa labda ndo staili yake ya kuishi kama binadamu wengine,je mbona hushangai wanawake wanaovaa suruali?
 
ANAKUKERA SANA BASI KAMA NI HIVYO ,UWE UNAPANGISHA NYUMBA YAKO WATU WA JINSIA MOJA TU YAANI KE!:plane:
 
ANAKUKERA SANA BASI KAMA NI HIVYO ,UWE UNAPANGISHA NYUMBA YAKO WATU WA JINSIA MOJA TU YAANI KE!:plane:

Hapana, si kwamba ananikera, nahisi tu anawezakuwa ameingia kwenye like kundi la vijana si Riziki...maana mwenendo mmh, ni hatari, ila hakuna kinachonibughudhi
 
Ndugu, nina kijana amepanga kwenye apartment ya house yangu, kijana alikuwa ni mtu wa kawaida mwenye majukumu yake ya kiofisi mazuri tu. Ninachoshangazwa nae siku za hivi karibuni ameanza kubadilika kiaina fulani, kwanza ameanza kutumia lotion za kung'arisha ngozi, anatumia perfume za kike, mavazi akishatoka ofisini (suit na tie) anavaa mavazi tofauti na ya zamani, sasa ni jeans za kubana juu kuachia chini, hachomei tena bali ni kuachia vishart vibody, mwendo sasa unachange umekuwa wa kuyumba yumba, nywele ni mafuta ya carl, wanja wa kati ya macho, chakushangaza na sauti sasa anarembesha kuliko ya kwangu, hata mikao sasa inachange jamaniiiii.
Sasa kwa kuwa nimempokea na naishi naye kama mdogo wangu kutoka mikoa ya kaskazini,nashindwa kumwelewa, hivi ndo hayo mambo ya SHAROBARO au ndo kashaingia kwenye mtoto si rizki???

Mnanishauri vipi? nimuingie na kumuuliza juu ya mwenendo wake au?

mhh wewe uyo ni mpangaji wako umempangisha tu na anajitegemea kwa kila kitu au ni mdogo wako au jamaa ako tu unamstiri?
km ni mpangaji achana nae ni masiha yake
km ni jamaaa yako kafikia kwako unamstiri basi KAA NAE CHIN UMWAMBIE AKUELEWE...
lakin kwa swaga izo mpaka na wanja basi uo SI USHAROBARO NI USHARAUHARO..chek vyema ata cm yake utakuta msg nzito ....
pole.
km vp mwambie akapange kwingne la sivyo watu watajua mko KAZI moja..pole...asi unajua mashoga wanavyopenda kukaaa vkund kund sjui ndo km geto vile kwao ...ahh pole once again
 
HIYO POST YA ROZI 1980 NAISAPOTI KWA ASLIMIA 100% IFANYIE KAZI MKUU!:plane:
 
Sasa angalau, kwa kodi hana shida, analipa kwa wakati.... haya bora nimwache tu
wewe umwache vp banaaa?mfukuze uyo
iyo laana yake akaifanyie mbali
itaitwa nyumba ya mashoga bure
ninavyowajua wale anaweza akaita mashoga wenzake waish kwako....
U MKATABA UWE WA MWISHO UMKIMBZE ARAKA IWEZEKANAVYO..SAWA?
MI MAMA MWENYE NYUMBA NISHASEMA
BYEE.
 
Tatizo la huyo dogo ulishalijua labda kama unataka na wewe kufaidi huo mwenendo wake!
 
Back
Top Bottom